Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

i. Marafiki Wanaokutia Moyo.
ii. Marafiki Wanaokupa Changamoto.
iii. Marafiki Wanaokusikiliza.
v. Marafiki Wanaotuunganisha
Leo katika makala hii tutaangalia aina ya nne ya MARAFIKI UNAOWAHITAJI.
– Marafiki Wawazi
Hawa ni marafiki wasema ukweli.
Ni watu ambao hawakuambii unachotaka kusikia.
Bali kile tu unachopaswa kusikia.
Ni watu wanaokwambia ukweli mkavu hata kama hutapenda.
Sio watu wa kukutia moyo mahali unapopaswa kukandiwa.
Kwao wao nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.
Mara nyingi hatuwapendi marafiki wa namna hii kwa sababu ya hii kasumba yao.
Lengo lao ni kutufanya tuwe makini zaidi ili tusije tukakosea kizembe.
Kumbuka kwamba wanafanya hivi kwa sababu
wanatupenda kwa dhati.
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.