
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
i. Marafiki Wanaoibeza Ndoto Yako
ii. Marafiki Waharibu Maono
iii. Marafiki Wanaoshambulia Ndoto Yako
Leo katika makala hii tutaangalia aina ya kwanza ya marafiki wanaoua NDOTO.
– Marafiki Wanaoibeza Ndoto Yako
Hawa ni watu ambao hawaamini katika ndoto yako.
Ni watu wanaoipuuza na kuidharau ndoto yako.
Kwao wanaona kama unania makuu.
Au unaishimaisha dhahania.
Ukiwaambia ndoto yako watakuambia ni kitu
kisichowezekana.
Watakuambia wamejaribu wengi na wameshindwa.
Wewe ndio hutaweza kabisa hata kufika mbali.
Watakubeza kwa kuangalia mwonekano wako.
Au kwa kuangalia historia na mazingira yako yasiyo rafiki.
Ni marafiki ambao ukiwaruhusu kwa muda
mrefu watakufanya uanze kukata tamaa.
Kwa hiyo ukiona una rafiki anayekudharau na
kukubeza basi jitahidi kukaa mbali na watu wa aina hiyo.
Ukihitaji kujifunza kwa kina kuhusu AINA Nyingine 2 Za MARAFIKI Wanaoua NDOTO Zako…Tegea maakala ya Bao La Asubui
All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.