Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: September 2024

Afrika Leo Jioni.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Muhtasari ‘Israel inasimama na nyinyi’: Netanyahu awaambia Wairan Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa ujumbe wa moja kwa moja… Read more “Afrika Leo Jioni.”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Uganda kuweka sheria ya kuheshimu wazee

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Kulingana na Sensa ya Watu na Makazi ya Uganda iliyohitimishwa Juni 2024, watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi… Read more “Uganda kuweka sheria ya kuheshimu wazee”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Iran inasema haitowatuma wanajeshi wake kupigana nchini Lebanon na Gaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Iran kupitia Wizara yake ya mambo ya kigeni inasema haitawatuma wanajeshi wake nchini Lebanon au katika Ukanda wa Gaza kupigana… Read more “Iran inasema haitowatuma wanajeshi wake kupigana nchini Lebanon na Gaza”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Ufaransa: Le Pen afunguliwa mashtaka kwa matumizi mabaya ya fedha za bunge la EU

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Mwanasiasa wa upinzani nchini Ufaransa Marine Le Pen, ambaye alikuwa kiongozi wa muda mrefu wa chama cha siasa za mrengo… Read more “Ufaransa: Le Pen afunguliwa mashtaka kwa matumizi mabaya ya fedha za bunge la EU”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Nchi ambayo haichezi soka ya kimataifa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Kipenga Cha Michezo Ndoto ya mbali ya wanasoka wa Eritrea ya kufika Kombe la Dunia la Fifa 2026 ilizimwa kabla… Read more “Nchi ambayo haichezi soka ya kimataifa”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Israel yazidisha mashambulizi katika maeneo ya Hezbollah huko Bekaa

Jeshi la Israel liliendelea, siku ya Jumatatu, kufanya mashambulizi mapya kadhaa kwenye “maeneo ya Hezbollah” nchini Lebanon, siku chache baada ya kuuawa kwa Hassan Nasrallah. Radio Fortune… Read more “Israel yazidisha mashambulizi katika maeneo ya Hezbollah huko Bekaa”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Jinsi mabaharia wanavyosema walidanganywa na kusafirisha Cocaine na Muingereza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Kwa Mbrazili Daniel Guerra aliyetamani kuwa baharia ili kusafiri ulimwenguni, tangazo la kazi lilikuwa ni kutimia kwa ndoto yake. Mmiliki… Read more “Jinsi mabaharia wanavyosema walidanganywa na kusafirisha Cocaine na Muingereza”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa 13 Septemba 2024 Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa… Read more “Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Rwanda: Serikali yatoa muongozo mpya kupambana na msambao wa virusi vya Marburg

Wizara ya Afya nchini Rwanda, imetoa mwongozo mpya unaolenga kuzuia kuenea kwa virusi vya Marburg nchini Rwanda, wakati huu idadi ya watu waliofariki kutokana na ugonjwa huu… Read more “Rwanda: Serikali yatoa muongozo mpya kupambana na msambao wa virusi vya Marburg”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Afrika: Raia katika nchi 21 hawana imani na zoezi la uchaguzi kwenye mataifa yao

Nchi 21 barani Afrika zilishuhudia kushuka, kwa kiwango kikubwa, uaminifu wa uchaguzi kati ya mwaka 2020 na 2024, kulingana na ripoti ya Hali ya Demokrasia Duniani ya… Read more “Afrika: Raia katika nchi 21 hawana imani na zoezi la uchaguzi kwenye mataifa yao”

September 30, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...