Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: August 2024

Bao La Asubui- Agosti 6,2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Huhitaji Kubwa Tajiri Ili Ustaafu Ukiwa Na Kipato Cha Uhakika. ____Zaidi ya asilimia 70 ya watu wanapata STRESS kuhusu PESA… Read more “Bao La Asubui- Agosti 6,2024”

August 5, 2024August 6, 2024 by CantonaDigital

Ajali Sanchangwan-Wanafunzi 26,walimu 3 na mpishi wapokea matibabu

WANAFUNZI 26, walimu watatu na mpishi mmoja wa shule ya Rockside Academy, Nairobi wanapokea matibabu katika Hospitali ya Mafunzo na Rufaa ya Nakuru na Hospitali ya Kaunti… Read more “Ajali Sanchangwan-Wanafunzi 26,walimu 3 na mpishi wapokea matibabu”

August 5, 2024 by CantonaDigital

Waziri mkuu wa Bangladesh ajiuzulu na kukimbilia India.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa DHAKA, Bangladesh  WAZIRI Mkuu wa Bangladesh Sheikh Hasina alijiuzulu Jumatatu, Agosti 5, 2024 na kutorokea India kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo.   Duru… Read more “Waziri mkuu wa Bangladesh ajiuzulu na kukimbilia India.”

August 5, 2024 by CantonaDigital

Kampuni ya Kawi Nchini Kenya kulipia fidia milioni 2 kwa familia moja.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa KAMPUNI ya Umeme nchini (KPLC) imeagizwa kulipa fidia ya Sh2 milioni kwa familia moja jijini Mombasa ambayo nyumba yao iliharibiwa… Read more “Kampuni ya Kawi Nchini Kenya kulipia fidia milioni 2 kwa familia moja.”

August 5, 2024 by CantonaDigital

Mkuu majeshi Bangladesh atangaza mipango kuundwa serikali mpya.

Radio Fortune Africa-Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa DHAKA, Bangladesh MKUU wa Majeshi Bangladesh Waker-Uz-Zaman ametangaza mipango ya kuundwa kwa serikali ya muda nchini humo, uongozi sasa ukiwa chini… Read more “Mkuu majeshi Bangladesh atangaza mipango kuundwa serikali mpya.”

August 5, 2024 by CantonaDigital

Timu ya mpira wa vikapu ya Nigeria yaweka historia kwenye Michezo ya Olimpiki

Radio Fortune Africa -Kipenga Cha Michezo https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Timu ya mpira wa vikapu ya Nigeria iliweka historia katika Michezo ya Olimpiki ya Paris kwa kuwa timu ya kwanza… Read more “Timu ya mpira wa vikapu ya Nigeria yaweka historia kwenye Michezo ya Olimpiki”

August 5, 2024August 5, 2024 by CantonaDigital

Serikali ya Sudan inakanusha kuwepo njaa katika kambi ya Darfur ya Zamzam

Radio Fortune Africa Mfuatiliaji wa chakula duniani aligundua kuwa njaa, iliyothibitishwa wakati vigezo vya utapiamlo na vifo vinapofikiwa, ilikuwepo katika kambi ya Zamzam na kuna uwezekano wa… Read more “Serikali ya Sudan inakanusha kuwepo njaa katika kambi ya Darfur ya Zamzam”

August 5, 2024 by CantonaDigital

Bao La Asubui-Agosti 5,2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Niliwahi kusikia mwenye hekima mmoja akisema… “People Can’t Attack What They Dont Know”. Yaani watu hawawezi KUSHAMBULIA kitu ambacho HAWAKIJUI.… Read more “Bao La Asubui-Agosti 5,2024”

August 5, 2024 by CantonaDigital

Unwritten rules

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa All Rights Reserved ©Cantona Group Ltd||2024

August 5, 2024August 5, 2024 by CantonaDigital

Afrika Mwisho Juma-Habari Kamili -Agosti 4,2024

Radio Fortune Africa- Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa WAZIRI mteule wa Uchumi wa Baharini na Uchimbaji Madini Hassan Ali Joho amekana madai kuwa anahusika katika ulanguzi wa mihadarati.… Read more “Afrika Mwisho Juma-Habari Kamili -Agosti 4,2024”

August 3, 2024August 4, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...