Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa USIJENGE Kwenye Kituo Cha Daladala… Kuna mahali upo Ila UNAPITA, sio kwamba ndio UMEFIKA. Kuna wengi sana WAMEJENGA na KUHAMIA… Read more “Bao La Asubui -Usijenge kwenye kituo cha daladala.”
Month: August 2024
Afrika Leo Jioni -Agosti 12,2024
Radio Fortune Africa -Habari Kamili https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa GAVANA wa Mombasa Abdulswamad Nassir amekashifu Bunge la Kitaifa akisema imeshindwa kulinda ugatuzi huku serikali za kaunti zikiendelea kucheleweshewa mgao huku… Read more “Afrika Leo Jioni -Agosti 12,2024”
Afrika Leo Mchana -Habari Kamili
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naam Natumai U Buheri wa AFYA Agosti hii 12 mwaka huu 2024,popote pale ulipo kwa moyo mkunjufu na mikono miwili… Read more “Afrika Leo Mchana -Habari Kamili”
Marekani yatuma manowari ya kombora mashariki ya Kati Pentagon yasema.
Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin aliamuru kutumwa kwa manowari ya kombora kuelekea Mashariki ya Kati, Pentagon imesema. Katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Ulinzi… Read more “Marekani yatuma manowari ya kombora mashariki ya Kati Pentagon yasema.”
Zambia yafunga mpaka wake na DRC Congo.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema imeanza mazungumzo na Zambia siku moja baada ya jirani yake wa kusini mwa Afrika kufunga mpaka wao wa pamoja, na kuziba… Read more “Zambia yafunga mpaka wake na DRC Congo.”
Bao La Asubui-Lifestyle Creep.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moja ya tatizo kubwa linalokabili kizazi chetu kwa sasa ni “LifeStyle Creep”. Yaani, tabia ya kufanya vitu ambavyo ni “Luxury”… Read more “Bao La Asubui-Lifestyle Creep.”
Marriage Mathematics-NdoaNdoano
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa KWA WANAUME… 1.Watafute marafiki wanaume watakao kukosoa wakati unapochukua mkondo usio mzuri,sio wale wanaume ambao watakuona ukiteleza maishani na wasalia… Read more “Marriage Mathematics-NdoaNdoano”
Paul Kagame aapishwaRais William RutoRuto Asafiri kwenda Rwanda
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa RAIS William Ruto ameondoka nchini kuelekea Rwanda katika ziara yake ya kwanza nje ya Kenya tangu vijana wa Gen Z… Read more “Paul Kagame aapishwaRais William RutoRuto Asafiri kwenda Rwanda”
Kenya yazoa medali 11,huku Tanzania ikiambulia patupu mashindano ya Olimpiki.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa JAMHURI ya Muungano wa Tanzania imeambulia patupu na haikuonekana kwenye orodha ya medali katika Mashindano ya Olimpiki Mjini Paris Ufaransa… Read more “Kenya yazoa medali 11,huku Tanzania ikiambulia patupu mashindano ya Olimpiki.”
UJUMBE MAALUMU KWA MITUME NA MANABII WOTE TANZANIA
Radio Fortune Africa Kuitwa na Mungu huwa siyo jambo rahisi kama watu wengi tunavyotazamia leo. Ndiyo maana katika maandiko, watu wengi walioitwa na Mungu hawakuitikia wito huo… Read more “UJUMBE MAALUMU KWA MITUME NA MANABII WOTE TANZANIA”