Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: August 2024

Manchester United yanasa huduma ya madifenda wawili.

MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER United imetumia zaidi ya Sh10 bilioni kuwanasa mabeki Matthijs de Ligt na Noussair Mazraoui kutoka Bayern Munich ya Ujerumani, huku kocha Eric ten Hag… Read more “Manchester United yanasa huduma ya madifenda wawili.”

August 14, 2024 by CantonaDigital

Vyombo vya Habari nguzo katika kusambaza misamiati ya Kiswahili.

MCHANGO wa vyombo vya habari katika kuunda na kusambaza istilahi na msamiati katika ulimwengu unaoendelea kwa kasi kiteknolojia ni wa kupigiwa mfano. Hata hivyo, vyombo hivyo pia… Read more “Vyombo vya Habari nguzo katika kusambaza misamiati ya Kiswahili.”

August 14, 2024 by CantonaDigital

Utata Raila Odinga akizidi kuwachang’anya wengi.

KIONGOZI wa Upinzani Raila Odinga ameongeza utata kuhusu jinsi Serikali ilivyozima maandamano ya vijana, kwa kufichua kuwa ni Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta aliyemwelekeza amtafute Rais William Ruto… Read more “Utata Raila Odinga akizidi kuwachang’anya wengi.”

August 14, 2024 by CantonaDigital

Wimbi la Siasa baina ya Naibu RAIS Nchini Kenya Gachagua na Mwangi Kiunjuri.

MIEREKA ya kisiasa kati ya Naibu Rais Rigathi Gachagua na Mbunge wa Laikipia Mashariki Mwangi Kiunjuri sasa inaendelea kutokota Mlima Kenya hasa baada ya baadhi ya viongozi… Read more “Wimbi la Siasa baina ya Naibu RAIS Nchini Kenya Gachagua na Mwangi Kiunjuri.”

August 14, 2024 by CantonaDigital

Watu 1000 wakamatwa Nchini Uingereza wanaohusishwa na ghasia.

Polisi wa Uingereza wamewakamata zaidi ya watu 1,000 wanaohusishwa na ghasia dhidi ya Waislamu zilizotokea wiki mbili zilizopita nchini Uingereza, maafisa walisema. “Vikosi kote nchini sasa vimekamata… Read more “Watu 1000 wakamatwa Nchini Uingereza wanaohusishwa na ghasia.”

August 14, 2024 by CantonaDigital

Mke wa RAIS wazamani Nchini Zambia,Maureen Kakubo Mwanawasa afariki dunia.

Mke wa Rais wa zamani wa Zambia Maureen Kakubo Mwanawasa amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61. Mwanawasa alifariki katika Kituo cha Matibabu cha Maina Soko… Read more “Mke wa RAIS wazamani Nchini Zambia,Maureen Kakubo Mwanawasa afariki dunia.”

August 14, 2024 by CantonaDigital

Hatutaki serikali jumuishi wandani wa Naibu Rais Nchini Kenya wamaka!!!

BAADHI ya wanasiasa wa Mlima Kenya wamemchemkia Rais William Ruto kwa kuwashirikisha wandani wa Raila Odinga katika serikali yake, wakisema hatua hiyo inakandamiza demokrasia.     Wandani sita… Read more “Hatutaki serikali jumuishi wandani wa Naibu Rais Nchini Kenya wamaka!!!”

August 13, 2024 by CantonaDigital

Watu watano wa familia moja wafariki dunia katika ajali Gilgil Nakuru Nchini Kenya.

MWANAMKE na watoto wanne, walifariki Jumanne, Agosti 13, 2024 katika ajali ya barabarani iliyohusisha gari la kibinafsi na lori, iliyotokea eneo la Mbaruk kwenye Barabara Kuu ya… Read more “Watu watano wa familia moja wafariki dunia katika ajali Gilgil Nakuru Nchini Kenya.”

August 13, 2024 by CantonaDigital

Gavana Kilifi Mungaro apigwa Jeki na Farm Afrika.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa SERIKALI ya Kaunti ya Kilifi inaangazia uwekezaji mkubwa katika sekta ya ufugaji wa samaki ili kuimarisha uzalishaji chakula cha kutosha… Read more “Gavana Kilifi Mungaro apigwa Jeki na Farm Afrika.”

August 13, 2024 by CantonaDigital

Empowerment Mathematics-Una ndoto kubwa unataka kuitimiza, dunia inataka ubora.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wale waliokuumiza huwa wanatamani kukuona ukiwa umechakaa na unaendelea kulia,fungua ukurasa mpya na usiwape wanachota. Kama wewe ni KIJANA hakikisha… Read more “Empowerment Mathematics-Una ndoto kubwa unataka kuitimiza, dunia inataka ubora.”

August 13, 2024August 13, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...