Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ukilijua Hili Utaishi Kwa AMANI Na Watu Wote… Unapokuwa na SHIDA, msaada wako unaweza KUTOKEA mahali ambapo HAUJAPATARAJIA. Ni kawaida… Read more “Bao La Asubui-Ukiwa na shida msaada wako utatokea usipopatarajia.”
Month: August 2024
Makala Ya Bao La Asubui.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwenye kila MAJIRA ya maisha yako, kuna mtu anakuwa ameandaliwa kuwa MFARIJI WAKO (Comforter). Mtu huyu anakuwa amepewa moyo wa… Read more “Makala Ya Bao La Asubui.”
Wimbi la Siasa Marekani. Umaarufu wa Trump wazidi kupungua…
ASHEVILLE, NORTH CAROLINA MGOMBEAJI wa urais wa chama cha Republican, Donald Trump, Jumatano alishambulia sera za mpinzani wake wa chama cha Democratic, Kamala Harris, katika hotuba aliyotoa… Read more “Wimbi la Siasa Marekani. Umaarufu wa Trump wazidi kupungua…”
Wakulima wa pojo wahitaji leseni kukuza zao hilo iwapo muswada wa pojo utapita Nchini Kenya kuwa Sheria.
WAKULIMA wa pojo au maarufu kama ndengu, sasa watahitajika kuwa na leseni kushiriki kilimo cha zao hilo la sivyo watozwe faini ya Sh1 milioni au kifungo cha… Read more “Wakulima wa pojo wahitaji leseni kukuza zao hilo iwapo muswada wa pojo utapita Nchini Kenya kuwa Sheria.”
Magavana Mlima Kenya wanapitia hali ngumu kutimiza majukumu yao.
HOJA ya kumuondoa mamlakani Gavana wa Meru Kawira Mwangaza kwa mara ya tatu chini ya miaka miwili inafichua hali ngumu ambayo magavana wa eneo la Mlima Kenya… Read more “Magavana Mlima Kenya wanapitia hali ngumu kutimiza majukumu yao.”
Wosia wa Hayati Daniel Moi kuwekwa wazi
WARITHI wote wa mali ya Hayati Rais Daniel arap Moi Jumatano waliagizwa wafike kortini Oktoba 7, 2024 wakati wa kuthibitishwa kwa Wosia wake kuhusu ugavi wa mali… Read more “Wosia wa Hayati Daniel Moi kuwekwa wazi”
Kuna Nuru Gizani.
IMEBAINIKA kuwa baadhi ya miradi iliyozinduliwa na Rais William Ruto katika eneo la Gusii, ilianzishwa na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta. Uchambuzi wa ziara ya Rais Ruto uliofanywa… Read more “Kuna Nuru Gizani.”
Wanaume wanaongoza kwa maambukizi MPox kupitia ngono.
WANAUME wanaongoza kwa maambukizi ya gonjwa la homa ya nyani (M-Pox) huku wengi wao wakiambukizwa kupitia ngono. Kwa kila visa 10 vilivyoripotiwa kuhusu Mpox, tisa vinajumuisha wanaume,… Read more “Wanaume wanaongoza kwa maambukizi MPox kupitia ngono.”
Nusra Mgombea mwenza wa Kamala Harris ,akose uteuzi alipokosa kushika simu kupokezwa Habari.
NUSRA Timothy Walz akose uteuzi wake kama mgombeaji mwenza wa Kamala Harris alipokosa kushika simu yake ya kumfahamisha kuwa ndiye chaguo bora miongoni mwa Democrats. Ni hali… Read more “Nusra Mgombea mwenza wa Kamala Harris ,akose uteuzi alipokosa kushika simu kupokezwa Habari.”
Mji wa Eldoret wapanda hadhi kuwa Jiji la Mabingwa Eldoret.
MJI wa Eldoret, almaarufu kama Nyumbani kwa Mabingwa, sasa ni Jiji la Mabingwa nchini baada ya Rais William Ruto kuupandisha hadhi kuwa jiji. Mji huo ambao ni… Read more “Mji wa Eldoret wapanda hadhi kuwa Jiji la Mabingwa Eldoret.”