Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph YAJAYO KATIKA AFRIKA LEO JIONI… Rais wa Ufaransa Emmanuel anakabiliwa na kibarua kigumu kuitisha mazungumzo mapya kuhusu uundwaji wa serikali, baada… Read more “Afrika Leo Jioni”
Month: August 2024
Kipenga Cha Michezo
Chelsea wana nia ya kumnunua winga wa Manchester United Muingereza Jadon Sancho, 24, na huenda wakamjumuisha mshambuliaji wa Uingereza Raheem Sterling, 29, katika mkataba wa kubadilishana wachezaji.… Read more “Kipenga Cha Michezo”
Afrika Leo Mchana -Habari Kamili Agosti 26,2024
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa FAMILIA za maafisa wa polisi wa Kenya waliotumwa Haiti zimelalamika kwamba bado hazijalipwa tangu walipoanza oparesheni ya kudumisha amani nchini… Read more “Afrika Leo Mchana -Habari Kamili Agosti 26,2024”
Kenya yatuma kikosi Kipya kusaidia Monusco.
Sherehe ya kuondoka ilifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) na ilisimamiwa na Stephen Kapkory, Kamanda wa kambi ya jeshi la anga ya… Read more “Kenya yatuma kikosi Kipya kusaidia Monusco.”
Chanjo ya MPox yaletea Afrika.
Chanjo hizo zinaletwa Afrika baada ya mataifa zaidi ya 70 nje ya Afrika kuwa nazo, dhihirisho kuwa mafunzo kutokana na uviko 19 ambapo Afrika ilibaguliwa katika usambazaji wa chanjo ,bado hayajaweza kuleta mabadiliko.… Read more “Chanjo ya MPox yaletea Afrika.”
Maono yako yapo mikononi mwao amua leo.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maalum Kwa Wanaoogopa Kuchekwa… Ukifanya na USIPOFANIKIWA utachekwa… Ukijaribu kuanza na UKAFELI utachekwa… Usipofanya ukabakia ULIPO utachekwa… Wengine watakucheka kwa… Read more “Maono yako yapo mikononi mwao amua leo.”
Mapigano upya Kati ya Jeshi la DRC Congo na waasi wa M23 Mashariki mwa jimbo la Kivu Kaskazini.
Mapigano mapya kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 yalizuka siku ya Jumapili karibu na mji wenye wakazi wengi mashariki mwa… Read more “Mapigano upya Kati ya Jeshi la DRC Congo na waasi wa M23 Mashariki mwa jimbo la Kivu Kaskazini.”
Empowerment Mathematics -Mtaji unaweza kutumia kuanzisha Biashara.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aina 5 Za Mitaji Wanazotumia Watu WengiKuanzisha Biashara. Ingawa kila mtu anahitaji mtaji kuanza kufanya biashara, ila watu wameanza kwa… Read more “Empowerment Mathematics -Mtaji unaweza kutumia kuanzisha Biashara.”
Empowerment Mathematics
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Njia 4 Za Kutambua Kiwango Cha MTAJI Wa BIASHARA Ambacho Unahitaji. Kabla haujaanza kutafuta mtaji, ni muhimu kujua kiwango cha… Read more “Empowerment Mathematics”
Bao La Asubui-Awamu 4 utakumbana nazo baada ya Kustaafu.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Awamu 4 Kubwa Utakazopitia BAADA Ya KUSTAAFU. Mara baada ya kutoka kazini, kuna vipindi ambavyo kila mstaafu lazima avipitie. Uimara… Read more “Bao La Asubui-Awamu 4 utakumbana nazo baada ya Kustaafu.”