Afrika Leo Mchana -Habari Kamili

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Naam Natumai U Buheri wa AFYA Agosti hii 12 mwaka huu 2024,popote pale ulipo kwa moyo mkunjufu na mikono miwili hujambo na karibu. Jina langu Cantona Joseph

KATIKA maandamano ya hivi karibuni mjini Karatina Kaunti ya Nyeri, msichana mwenye umri wa miaka minne alikuwa kati ya zaidi ya watu 20 waliopigwa risasi na kujeruhiwa.

Polisi nao wanasema kuwa wenzao watano walijeruhiwa na magari yao mawili kuharibiwa vioo. Wale ambao wamelazwa katika Hospitali ya Karatina baada ya kupigwa risasi na polisi ni Ivana Gathigia (miaka minne) Eric Waigwa (23), Brian Mwangi(28), Sarah Githinji(52), Baxton Mwangi (35), Kelvin Gicheru (19) na Cynthia Mera (19).

Mwengine ambaye alijeruhiwa ni Wycliffe Thiong’o (25) ambaye ni msusi mjini humo na amehamishwa hadi Hospitali ya Kenyatta kwa matibabu zaidi.

Radio Fortune Africa ilipozuru hospitali hiyo mnamo Jumamosi, baadhi ya waathiriwa bado walikuwa na risasi katika miili yao wakisubiri kufanyiwa upasuaji.

Ivana, 4, alikuwa na bandeji katika mkono wake wa kulia na uchunguzi wa miale ya X ray ulionyesha kuwa bado kulikuwa na kifaa kilichokuwa ndani ya mkono wake.

Mamake Eunice Githiga alimtoa mwanawe kutoka kituo kimoja cha malezi ambako yeye humwacha kisha wakaanza kutembea kwenda nyumbani.

Baada ya muda, polisi walianza kufyatua risasi kiholela na katika harakati za kujiokoa, mwanawe alimponyoka na hapo ndipo akapigwa risasi.

Risasi hiyo haikumpata moja kwa moja kwani ilipiga ukuta kwanza kisha ikamgonga.

Bi Githiga alisimulia kuwa alizimia baada ya risasi hiyo kumgonga mwanawe kwa kuwa alifikiria alikuwa ameaga dunia.

Alipopata fahamu baadaye rafiki yake alimweleza kuwa Ivana alikuwa amekimbizwa hospitalini ambako alikuwa amelazwa.

“Ni kwa neema ya Mungu kuwa bado yupo hai kwa kuwa hali ingekuwa mbaya zaidi kama risasi ingempata. Sidhani kuwa polisi walikuwa wakimlenga ila kilichotokea kwake hakifai na kimeniogofya sana pamoja na msichana wangu,” akasema.

Waathiriwa wengine walisimulia jinsi walivyopatikana na risasi hizo huku wakikanusha kuwa walikuwa wakishiriki maandamano.

Waathiriwa wawili wapo kwenye hali hatari kutokana na majeraha tumboni na kifuani.

Vile vile, wengine walipata majeraha miguuni baada ya polisi kuwapiga risasi wakati wa maandamano hayo.

Mkurugenzi wa Matibabu katika Kaunti ya Nyeri Dkt Nelson Muriu alisema kuwa idara ya afya ilikuwa imewatuma wahudumu kuwashughulikia wenye majeraha ya risasi.

Kamanda wa Polisi wa Mathira Mashariki Samson Leweri ambaye pia alijeruhiwa akikabiliana na waandamanaji alisema wenzake watano pia walipata majeraha baada ya kupigwa mawe.

Kupigwa kwa waandamanaji risasi kunatokea wiki moja baada ya Naibu Rais Rigathi Gachagua kuamrisha vyombo vya usalama vikomeshe maandamano hayo yanayotokea katika ngome yake ya kisiasa.

WIKI sita baada ya kundi la polisi wa Kenya kutua nchini Haiti kusaidia polisi wa nchi hiyo kudhibiti magenge ya wahalifu, uwezo wao kutekeleza kibarua hicho umeanza kutiliwa shaka.

Viongozi, raia na wanahabari nchini humo sasa wamegeuka na kuwasuta Wakenya hao wakiwataja kama “waigizaji” na “watalii” wasiosaidia chochote huku magenge yakiendelea kuwahangaisha raia.

Raia wengi wa Haiti walijawa na matumaini makubwa kundi la kwanza la polisi 200 kutoka Kenya lilipotua jijini Port-au-Prince mnamo Juni 25.

Maafisa hao walionyesha mbwembwe nyingi wakivalia helmeti, magwanda ya kijeshi, wakibeba silaha zao na kuinua bendera ya Kenya.

Hali ilikuwa sawa na hiyo kundi la pili la Polisi hao lilipowasili nchini humo majuma matatu yaliyofuata.

Kulikuwa na matumaini kwamba polisi wa Kenya wangeleta nguvu mpya kwa Polisi wa Kitaifa wa Haiti (PNH) kupambana na magenge ya wahalifu ambao wamehangaisha jiji kuu Port-au-Prince na maeneo mengine nchini humo kwa zaidi ya miaka mitatu sasa.

Kituo cha Redio cha Independante FM kiliweka ujumbe wa kuwakaribisha Wakenya hao nchini humo uliosema hivi:

“Haiti ni nchi ya Waafrika wote. Kwa kuwa ninyi ni weusi, Haiti ni nyumbani kwenu…… Enyi wanajeshi wa Kenya mko nyumbani na tunawakaribisha kusaidia kupambana na magenge haya ambayo yametuzuia kuishi katika nchi yetu.”

Lakini sasa, raia wengi wa Haiti wanahisi kupoteza imani kwamba polisi hao wa Kenya na wenzao wa Haiti hawajachukua hatua za haraka kuzima magenge ya wahalifu, wakuu wao na kuvamia maficho yao.

Huku wakitumia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, raia wanasema wanataka “vitendo sio maneno matupu” na “matokeo halisi”.

Wakosoaji wanasema licha ya doria za pamoja zinazoendeshwa na polisi wa Kenya na wenzao wa Haiti jijini Port-au-Prince ambako wamekabiliana kwa risasi na magenge, wahalifu hao bado wanadhibiti maeneo ya kusini na kaskazini mwa jijini na viungani mwake.

Tangu polisi wa Kenya watue Haiti wanachama wa magenge ya wahalifu wamevamia vituo vya polisi na kuendelea kuwahangaisha watu katika barabara kuu jijini humo na miji mingine.

Kuna hisia nchini Haiti kwamba polisi wa Kenya wamejivuta kuhakikisha kuwa uwepo wao unaonekana.

“Wakenya hawa wanasubiri nini kabla ya kuchukua hatua dhidi ya majangili hao,” kituo cha habari cha AyiboPost kikauliza kwenye taarifa kilichoweka katika mtandao wa X mnamo Julai 11, majuma mawili baada ya kundi la kwanza la maafisa wa kutua Haiti.

Wiki mbili baada ya mtandao wa habari kwa jina “Le Filet Info” nao ukasema hivi: “Uwepo wa polisi wa Kenya nchini Haiti haujasaidia kushtua wahalifu hao. Wanaendelea kuwaua raia.”

Kikosi cha Kenya tayari kimepata majeruhi ya kwanza tangu kilipowasili Haiti.

Mnamo Julai 30, mmoja polisi hao alipata jeraha la risasi begani maafisa hao walipokabiliana na wahalifu wa genge moja la wahalifu jijini Port-au-Prince.

Siku hiyo Mkuu wa Polisi Haiti Rameau Normil, akiandamana na kamanda wa kikosi cha Kenya Godfrey Otunge, walionekana kujibu habari mbaya kuhusu maafisa wao kwa kutangaza kuwa “majangili” 100 waliuawa katika operesheni ya pamoja na vikosi hivyo viwili vya polisi.

Hata hivyo, kauli kama hizo hazijasaidia kurejesha imani ya umma kuhusu ufanisi wa juhudi za vikosi hivyo katika kulemaza wahalifu nchini Haiti.

Huku polisi wa Kenya wakiendelea kukosolewa kwa kushindwa kuwadhibiti wahalifu “haraka ilivyotarajiwa” kaimu Waziri Mkuu Garry Conille amewaambia wanahabari kwamba anaunga mkono usaidizi ambapo Wakenya hao wametoa kwa polisi wa Haiti.

Hata hivyo, akasema; “Tunahitaji usaidizi… japo unakuja polepole na rais wa Haiti wanaonekana kuchoka kusubiri.”

Lakini kiongozi huyo alifafanua kuwa wajibu wa polisi wa Kenya ni kutoa usaidizi huku wakiandamana na polisi wa Haiti – “sio kuendesha operesheni za kiusalama kivyo.”

Hata hivyo, viongozi wa makundi ya wahalifu wameonekana kuwakaidia polisi wa Kenya.

Siku chache baada ya kundi la kwanza la maafisa 200 kuwasili Haiti, Jimmy “Barbecue” Cherizier, kiongozi wa kundi la “Viv Ansanm” alitoa kauli za kudharau polisi hao wa Kenya.

“Hizi ndizo risasi zitakazotumiwa kupambana na Wakenya. Tunataka kuwaambia kwamba hawatatuweza,” Barbecue na wanachama wa genge lake wakasema kwenye video iliyodumu kwa dakika nane. Walionekana wakisakata densi katika ngome yao ya Delmas 9 huku wakiinua juu bunduki zao hatari.

Viongozi wengine wa magenge ya wahalifu akiwemo Wilson “Lanmo Sanjou” Joseph, kiongozi wa genge la “400 Mawozo” na kiongozi mwingine kwa jina “Ti Bebe Bougoy” wamekuwa wakionekana katika video wakiwakemea maafisa wa Haiti na polisi wa Kenya.

Wao hufanya hivyo huku wanachama wao wakiendesha mashambulio dhidi ya raia.

Kikosi hicho cha polisi wa Kenya kilitumwa nchini Haiti chini ya idhini ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kwa lengo la kurejesha usalama nchini humo.

Haiti Mission
Polisi wa Kenya Haiti
Port-au-Prince
Usalama Haiti
Utamaduni wa Haiti

MAHAKAMA ya Mazingira na Ardhi imetoa uamuzi ambapo mwanamke mmoja anatakiwa kulipa kanisa la Katoliki Dayosisi ya Nakuru Sh23 Milioni.

Sasa mwanamke huyo anatakiwa kurejesha pesa alizopokea kwa njia ya ulaghai baada ya kushtakiwa kwa kuuzia kanisa ardhi hewa.

Jaji Anthony Ombwayo alimwagiza Bi Hannah Wairimu Kahiga alipe pesa hizo zinazojumuisha Sh 19,800,000 ambazo kanisa lililipa kwa ununuzi wa shamba la ekari 11 katika eneo la Kiambogo, kaunti ndogo ya Naivasha na Sh 3, 960,000 kama fidia.

Uamuzi huo ulitolewa baada ya kubainika kuwa mshtakiwa aliuza shamba la mtu mwingine kwa kutumia hati bandia.

Bi Hannah Wairimu anadaiwa kushirikiana na maafisa katika afisi ya ardhi kuuza shamba hilo la ekari 11 ambalo ni sehemu ya shamba la Teresia Wanjiru Wangera aliyefariki 1981.

“Mshtakiwa wa Kwanza (Bi Wairimu) hajathibitisha kwa mahakama hii kwamba alipata hatimiliki kihalali na kiutaratibu alipouza mali hiyo kwa Mlalamishi (Kanisa Katoliki),” Jaji Ombwayo akaamua.

Kanisa kupitia wadhamini wake waliosajiliwa ambao maafisa wao wa sasa ni Maurice Muhatia, Askofu Mkuu Kisumu, baba Lawrence Mbogo na baba Simon Kamau walimwendea Bi Wairimu kwa nia ya kununua ardhi hiyo kwa mradi wa kanisa.

Askofu Mkuu Kisumu
baba Lawrence Mbogo
Bi Hannah Wairimu
kanisa la Katoliki Dayosisi ya Nakuru
MAHAKAMA ya Mazingira na Ardhi
Maurice Muhatia
Sh23 milioni
Shamba bandia

GAVANA wa Mombasa Abdulswamad Nassir amekashifu Bunge la Kitaifa akisema imeshindwa kulinda ugatuzi huku serikali za kaunti zikiendelea kucheleweshewa mgao huku zikipunguziwa fedha.

Bw Nassir alisema ni Bunge la Seneti pekee ambalo limekuwa mstari wa mbele kulinda ugatuzi.

Gavana huyu amewakia wabunge akisema wameshirikiana na serikali kuu kukandamiza serikali za kaunti.

Akizungumza katika mkutano wa kisiasa huko Jomvu, Bw Nassir alisema serikali za kaunti zinafaa kupokea Sh400 bilioni.

Bunge la kitaifa lilipunguza fedha hizo hadi Sh380 bilioni.

“Inasikitisha kuwa Bunge la Kitaifa lilikwenda na kukubaliana na serikali kuu ya kwamba serikali za kaunti zipunguziwe fedha za ugatuzi kutoka Sh400 bilioni hadi Sh380 bilioni. Ninashukuru maseneta ambao wametuhakikishia kwamba watalinda ugatuzi,” alisema Gavana Nassir.

Aliitaka serikali kuu kuwajibika na kuhakikisha serikali za kaunti zinapokea fedha za ugatuzi kwa mujibu wa sheria na hata katiba.

Bw Nassir alisema licha ya serikali kuu kuwa na changamoto za ukusanyaji wa ushuru au mapato, mzigo huo haufai kubebwa na serikali za kaunti.

Alisema ni wajibu wa serikali kuu kupunguza matumizi yake endapo inakabiliwa na changamoto za kifedha badala ya kupunguza za ugatuzi.

“Kwanza nalikosoa Bunge la Kitaifa, mlifanya makosa kikatiba, nashukuru bunge la seneti kwa kulinda katiba. Hivi karibuni Tume ya Mgao wa Mapato Nchini (CRA) italeta Miswada ya Fedha katika Bunge la Seneti, kuna dalili kaunti kadhaa za Pwani zitaumia,” akaongeza naibu huyo kiongozi wa chama cha ODM.

Aliwasihi maseneta wahakikishe kuna usawa na haki katika ugavi wa fedha.

Bw Nassir pia alijitetea akisema amekuwa akitumia fedha za ugatuzi kwa ajili ya maendeleo ikiwemo kuhakikisha mishahara ya wafanyikazi inalipwa kwa wakati na wanakandarasi waliojenga barabara pia wanalipwa.

“Sijawahi kurejesha fedha kwa serikali kuu, hata kama tunacheleweshewa fedha kwa muda wa miezi. Kwanza kama serikali ya kaunti tunadai fedha zaidi,” akasema.

Alisema alipunguza ada za leseni kwa wafanyabiashara wadogo wadogo ili kupiga jeki biashara.

Bw Nassir alikuwa anawajibu wanasiasa na wapinzani wake wakubwa ambao walimtuhumu kuwa hawekezi kwenye sekta ya biashara kwa kuwapa vijana na kina mama mikopo.

Wiki iliyopita wanasiasa wa Mombasa wakiwemo Seneta Mohammed Faki, Spika wa Bunge la Mombasa Aharub Katri, Mbunge wa Changamwe Omar Mwinyi na wengineo walimkashifu Gavana Nassir.

Walisema ameshindwa kuwekeza kwenye sekta ya ajira miongoni mwa vijana kwa kuwapa mikopo ili wafanye biashara.

Wanasiasa wa Mombasa walidai kuwa kuna fedha ambazo Gavana Nassir alirejeshea serikali kuu kwa kushindwa kuzitumia kuimarisha ugatuzi.

Hata hivyo Bw Nassir aliwaambia waache kuingiza siasa kwenye suala tata la ajira akiwasihi washirikiane kuimarisha ugatuzi.

“Nitarejea hapa Jomvu kutoa fedha za vikundi kwa vijana na kina mama wafanye biashara,” alisema Bw Nassir.

Bunge la Kitaifa na Ugatuzi
Bunge la Seneti
Gavana Abdullswamad Nassir
Sh380 bilioni
Sh400 bilioni

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd||2024

Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment