Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa MUHIMU: Kwa Wote Wenye MAONO Flani. Kila MAONO lazima yalindwe Ili yasikuponyoke. Njia nzuri ya kulinda maono Uliyonayo ni… …KUYAISHI… Read more “Bao La Asubui -Kila Maono lazima yalindwe Ili yasikuponyoke.”
Month: August 2024
Bao La Asubui -Badala ya kulaumu endelea kumwamini Mungu.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuna hali ngumu sana unaipitia leo na maumivu ni makali… …maswali ni mengi sana unajiuliza. Dalili zote zinaonyesha umefika mwisho…… Read more “Bao La Asubui -Badala ya kulaumu endelea kumwamini Mungu.”
Russia ipo tayari kusaidia Nchi za Afrika Kijeshi Asema waziri wa Nchi za kigeni wa Russia Sergey Lavrov.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amesema wakati wa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal siku ya Alhamis kuwa nchi yake… Read more “Russia ipo tayari kusaidia Nchi za Afrika Kijeshi Asema waziri wa Nchi za kigeni wa Russia Sergey Lavrov.”
AFRIKA LEO JIONI -HABARI KAMILI
1.Tangu ulipozuka wiki za karibuni nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, ugonjwa wa homa ya nyani (mpox) unaendelea kusambaa kwa kasi. Mkoa wa Kivu Kusini ni miongoni… Read more “AFRIKA LEO JIONI -HABARI KAMILI”
Ukingo wa Magharibi hakukaliki tena.
Ukingo wa Magharibi: Jeshi la Israeli linaendelea na oparesheni za kijeshi Idadi ya watu waliouawa katika oparesheni ya siku ya pili ya jeshi la Israeli kwenye Ukingo… Read more “Ukingo wa Magharibi hakukaliki tena.”
Urusi inasema wanajeshi wake wamechukua vijiji zaidi nchini Ukraine
Urusi inasema imechukua vijiji viwili zaidi mashariki mwa Ukraine haswa katika maeneo ya Donetsk na Lugansk ambapo wanajeshi wake wameendelea kuripotiwa kupiga hatua katika uwanja wa mapambano.… Read more “Urusi inasema wanajeshi wake wamechukua vijiji zaidi nchini Ukraine”
Kipenga Cha Michezo
Chelsea wanataka kumsajili mshambuliaji wa Brentford na England Ivan Toney, 28. The Blues hata hivyo hawataweza kufikia mshahara unaopendekezwa na klabu ya Al-Ahli ya Saudi Arabia. (Sky… Read more “Kipenga Cha Michezo”
Afrika Leo Jioni -Agosti 28,2024
ALIYEKUWA Gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu maarufu kama Baba Yao, mkewe Susan Wangari na mwanakandarasi walijitetea Jumanne Agosti 27, 2024 katika kashfa ya Sh588 milioni ya ujenzi… Read more “Afrika Leo Jioni -Agosti 28,2024”
Bao La Asubui -Ndoto za kutimiza.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwa Wenye NDOTO KUBWA Za Kutimiza. Yapo aina ya MAAMUZI ambayo YATAUMIZA MOYO wako kwa MUDA MFUPI… …Ila yatakupa FURAHA… Read more “Bao La Asubui -Ndoto za kutimiza.”
Why Raila Odinga might loose on the AUC chairmanship.
Diplomatic Affairs analyst Ahmed Hashi has claimed that opposition leader Raila Odinga could lose the African Union Commission (AUC) chairperson seat to Djibouti’s candidate Mahmoud Youssouf. During… Read more “Why Raila Odinga might loose on the AUC chairmanship.”