Na Cantona Joseph Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa MBUNGE wa Mathira Eric Wamumbi amedai kuwa tofauti za kisiasa kati yake na Naibu Rais Rigathi Gachagua zilianza mwaka… Read more “Mvutano kati ya Naibu Rais Nchini Kenya,Gachagua na Mbunge wa Mathira Wamumbi.”
Month: July 2024
Mheshimiwa Musalia Mudavadi asazwa,Rais Ruto wa Kenya akiwafukuza kazi mawaziri-Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph AfrikaLeoJioni RAIS William Ruto alimsaza Mkuu wa Mawaziri na Waziri wa Mashauri ya Kigeni Musalia Mudavadi kutokana na sababu za kisiasa wala sio hadhi… Read more “Mheshimiwa Musalia Mudavadi asazwa,Rais Ruto wa Kenya akiwafukuza kazi mawaziri-Radio Fortune Africa.”
Afrika Leo Michezoni-Radio Fortune Africa.
BERLIN, Ujerumani Three Lions ya Uingereza ilidumisha ubashiri wa kuwa mmoja wa wagombea halisi wa taji la Kombe la Ulaya (Euro) 2024 baada ya kunyoa Uholanzi 2-1… Read more “Afrika Leo Michezoni-Radio Fortune Africa.”
Rais wa Kenya William Ruto avunja Baraza lake la mawaziri.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph #AfrikaLeoJioni KINYUME na ilivyo desturi yake wakati akihutubia taifa, Rais wa Kenya William Ruto Alhamisi, Julai 11, 2024 wakati akivunja Baraza… Read more “Rais wa Kenya William Ruto avunja Baraza lake la mawaziri.”
Sina Uwezo CS wa Afya Nakhumicha Asema kabla ya kufukuzwa kazi-Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph AfrikaLeoMchana WAZIRI wa Afya, Susan Nakhumicha amesema hana uwezo wa kufanya maamuzi kuhusu ajira na malipo ya madaktari wanagenzi. Alisema kwa sababu hiyo, serikali… Read more “Sina Uwezo CS wa Afya Nakhumicha Asema kabla ya kufukuzwa kazi-Radio Fortune Africa.”
Wana Rika wa Gen Z-Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph AfrikaLeoMchana KATIKA kipindi cha majuma machache yaliyopita, Wakenya katika maeneo mbalimbali nchini wameshtushwa na hatua ya wabunge wao kuwaomba msamaha kwa kuunga mkono Mswada… Read more “Wana Rika wa Gen Z-Radio Fortune Africa.”
Mtasubiri Mwaka 2027/Asema Rais Ruto/Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph RAIS William Ruto amewaonya baadhi ya viongozi wa kisiasa dhidi ya kuvuruga serikali yake kwa kuchochea maandamano akiwataka kusubiri hadi 2027 wapambane naye debeni.… Read more “Mtasubiri Mwaka 2027/Asema Rais Ruto/Radio Fortune Africa.”
Afrika Leo Mchana/Wanaume hawana makazi-Radio Fortune Africa
Na Cantona Joseph WANAUME wanaongoza kwa idadi ya watu wasio na makao nchini, inasema ripoti mpya. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Baraza la Kitaifa kuhusu Idadi ya… Read more “Afrika Leo Mchana/Wanaume hawana makazi-Radio Fortune Africa”
Afrika Leo Alfajiri -Bao la Asubui/Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph Wamekufukia Ili Usichipue Tena… Kuna wakati watu wasiokupenda au maadui zako watafanya jambo la kukumaliza. Ndio, yaani watakufukia ili Usichipue tena. Wengine watafanya hivyo… Read more “Afrika Leo Alfajiri -Bao la Asubui/Radio Fortune Africa.”
Aina 10 kuwahudumia wateja-Radio Fortune Africa.
Unashindwa kuongeza MAUZO yako? AINA 10 Za WATEJA Na Jinsi Ya KUWAHUDUMIA… Leo tunaangalia aina moja wapo kati ya aina 10 za wateja na jinsi ya kuwahudumia.… Read more “Aina 10 kuwahudumia wateja-Radio Fortune Africa.”