Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: July 2024

Sekta ya utali ya hathirika kutokana na maandamano.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SEKTA ya utalii mjini Mombasa huenda ikazidi kudorora iwapo maandamano dhidi ya serikali yataendelea. Wadau katika sekta hiyo wamesema utalii… Read more “Sekta ya utali ya hathirika kutokana na maandamano.”

July 20, 2024 by CantonaDigital

Polisi wa Kenya wapata ushindi wa kwanza Haiti.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph MAAFISA wa polisi wa Kenya nchini Haiti na wenzao wa Haiti wamefanikiwa kukomboa bandari ambayo imekuwa ikidhibitiwa na magenge kwa… Read more “Polisi wa Kenya wapata ushindi wa kwanza Haiti.”

July 19, 2024 by CantonaDigital

Rais Ruto wa Kenya,ataja mawaziri 11,katika awamu ya kwanza ya uteuzi Baraza la mawaziri.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph RAIS William Ruto amerudisha mawaziri sita wa zamani kati ya 11 aliotaja kwenye Baraza lake jipya la Mawaziri. Majina ya… Read more “Rais Ruto wa Kenya,ataja mawaziri 11,katika awamu ya kwanza ya uteuzi Baraza la mawaziri.”

July 19, 2024 by CantonaDigital

Baadhi ya wabunge wa ODM waonya Raila Odinga kujiunga na Serikali Nchini Kenya.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph MKUTANO wa Kundi la Wabunge wa ODM (PG) ulishindwa kufikia uamuzi kuhusu pendekezo la kujiunga na serikali ya Rais William… Read more “Baadhi ya wabunge wa ODM waonya Raila Odinga kujiunga na Serikali Nchini Kenya.”

July 19, 2024 by CantonaDigital

Panya waharibu mpunga Mwea.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph PANYA wamevamia mradi wa unyunyuzaji wa Mwea Kaunti ya Kirinyaga na kusababisha uharibifu mkubwa katika vitalu vya kukuzia mpunga. Panya… Read more “Panya waharibu mpunga Mwea.”

July 19, 2024 by CantonaDigital

Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KATIBU katika Wizara ya Leba na Ulinzi wa Jamii, Bw Joseph Motari amesema kuwa serikali inaendelea kuimarisha mikakati kukomesha ukatili… Read more “Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.”

July 19, 2024 by CantonaDigital

Magavana wa kauti 6 Pwani ya Kenya walenga Uropa kwa maendeleo.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph ZIARA ya magavana sita wa Pwani nchini Italia imewavunia wawekezaji wa kimataifa ambao watakita kambi nchini Kenya mwezi ujao. Gavana… Read more “Magavana wa kauti 6 Pwani ya Kenya walenga Uropa kwa maendeleo.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Madiwani wa Wiper wamshauri Kalonzo Musyoka.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KUNDI la Wawakilishi wa Bunge la Kaunti (MCAs) ya Kitui na Wanachama wa Wiper wamemtaka kiongozi wao, Kalonzo Musyoka, kujiondoa… Read more “Madiwani wa Wiper wamshauri Kalonzo Musyoka.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Raila aomba radhi,kwa waliofukuzwa katika hafla ya Azimio.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Kiongozi wa ODM Raila Odinga ameomba radhi kwa wanahabari na viongozi waliofukuzwa Jumatano na vijana katika hafla ya muungano huo… Read more “Raila aomba radhi,kwa waliofukuzwa katika hafla ya Azimio.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Iwapo umekataliwa!!!

Radio Fortune Africa -Bao la Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph UJUMBE MUHIMU: Kwa Wote Waliokataliwa… Shujaa Aliyekataliwa… Kuna watu ambao wamejitoa sana… …ila bado hawajapewa thamani inayostahili.… Read more “Iwapo umekataliwa!!!”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...