Kipenga Cha Michezo.

Radio Fortune Africa

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Baadhi ya wachezaji kwenye kikosi cha Sudan Kusini wanaishi katika nchi za MarekaniAustraliaCanada, huku wengi wao wakiwa ni watu ambao walianza maisha katika kambi za wakimbizi.

Wanamichezo hawa hawana ufahamu zaidi kuhusu nchi yao kwani, wazazi wao walikimbia wakati wa mzozo wa Sudan wa mwaka 1983-2005, moja ya vita vya kiraia vilivyodumu muda mrefu zaidi kwenye rekodi, ambayo hatimaye ilileta uhuru wa Sudan Kusini mnamo mwaka wa 2011.

Wachezaji hao wanasema wako tayari kuisaidia nchi yao changa kuandikisha historia kaitka mashindano hayo.

Hii itakuwa ni mara ya kwana kwa taifa hilo changa duniani kushirki mashindano ya olimpiki na hivi majuzi ilionyesha mchezo bora dhidi ya Marekani
Hii itakuwa ni mara ya kwana kwa taifa hilo changa duniani kushirki mashindano ya olimpiki na hivi majuzi ilionyesha mchezo bora dhidi ya Marekani AP – Kin Cheung

Miaka miwili tu baada ya kujipatia uhuru kutoka kwa Sudan, Nchi hiyo iliingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kuanzia mwaka 2013 hadi 2018, vita ambavyo vilisababisha vifo vya zaidi ya watu 400,000 na kuwasababisha mamilioni ya watu kuhama makaazi yao.

Sudan kusini yenye idadi ya takribani watu milioni 11 inakabiliwa na matatizo ya kisiasa, kikabila, umaskini, ufisadi, pamoja na majanga kama vile mafuriko na ukame.

Kuany Kuany, nahodha wa timu hiyo akizungumza na shirika la habari la AFP huko Kigali, amesisitiza kwamba wanaenda kushiriki mashindano hayo kwa ajili ya nchi yao ilikuleta furaha kwa raia wanaowategemea.

South Sudan's national team celebrates after beating Angola during their Basketball World Cup classification match at the Araneta Coliseum, Manila, Philippines on 2 September 2023.
Baadhi ya wachezaji kwenye kikosi cha Sudan Kusini wanaishi katika nchi za Marekani, Australia, Canada, huku wengi wao wakiwa ni watu ambao walianza maisha katika kambi za wakimbizi. AP – Aaron Favila

Gabriel, mwenye umri wa miaka 27 na ambaye amecheza pamoja na nyota

Timu hiyo ilijipatia umaarufu wa kimataifa waliposhiriki kwa mara ya kwanza katika Kombe la Dunia la Mpira wa Kikapu mnamo mwezi Agosti mwaka jana, na kusababisha furaha kubwa nyumbani.

Mashindano ya Olimpiki yanafanyika jijini Paris nchini Ufaransa kwa kipindi cha wiki mbili.
Mashindano ya Olimpiki yanafanyika jijini Paris nchini Ufaransa kwa kipindi cha wiki mbili. REUTERS – Louisa Gouliamaki

Katika mechi ya mazoezi ya mwishoni mwa juma lililopita mjini London, walikaribia kupata ushindi mkubwa dhidi ya timu ya Marekani yenye nguvu hata hivyo, walipoteza kwa pointi moja tu (101-100).

Wahamiaji wa Sudan Kusini wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi mjini Paris kuunga mkono timu yao ambayo  inatarajiwa kupambana dhidi ya MarekaniSerbia, na Puerto Rico katika kundi lililo na changamoto kubwa.  

Na Cantona Joseph

Soma zaidi mada inayofanana:

Wachezaji hao wanasema wako tayari kuisaidia nchi yao changa kuandikisha historia kaitka mashindano hayo.

Olimpiki 2024: Sudan Kusini inalenga kuandikisha matokeo bora jijini Paris

Daniel Mateiko kwenye riadha za Diamond League jijini Eugene

PARIS OLIMPIKI 2024

Daniel Mateiko analenga kumaliza ukame wa dhahabu ya Olimpiki, 10,000m kwa Kenya

 

Hii itakuwa mara ya tatu kwa jiji hilo kuu la Ufaransa kuandaa Olimpiki, baada ya kufanya hivyo mara ya kwanza mwaka 1900, 1924 na sasa 2024.

Michezo ya Olimpiki inafunguliwa jijini Paris nchini Ufaransa, Ijumaa jioni

Mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa, Moussa Diaby, amejiunga na timu ya Al-Ittihad inayoshiriki ligi ya Saudi Arabia.

Saudi Arabia: Moussa Diaby amejiunga na klabu ya Al-Ittihad

Michezo ya Olimpiki, inaanza siku ya Ijumaa jijini Paris nchini Ufaransa.

Michezo ya Olimpiki, inaanza siku ya Ijumaa jijini Paris nchini Ufaransa

 

Bingwa wa dunia katika mita 800 Mary Moraa

PARIS OLIMPIKI 2024

Mary Moraa akumbuka maisha magumu aliyopitia akilenga medali ya Olimpiki

 

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akipiga picha ya selfie na watu waliojitolea alipotembelea kijiji cha Olimpiki kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya 2024, huko Paris, Ufaransa, Julai 22, 2024.

Rais Macron kuunga mkono ugombea wa Ufaransa kwa Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi ya 2030

Mchezaji tenesi wa Uingereza, Andy Murray, ambaye ametangaza michezo ya Paris kuwa ya mwisho kwake, hapa akishangulia ushindi alioupata wakati wa michezo ya Olimpiki ya Londoni mwaka 2012.

Muingereza, Andy Murray atangaza kustaafu tenesi baada ya Olimpiki ya Paris

Wiseman Were akifanya mazoezi katika kambi ya mazoezi ya Miramas nchini Ufaransa

PARIS OLIMPIKI

Ndoto ya Wiseman Were kushiriki Olimpiki yatimia licha ya kuvunjwa moyo na watu

 

Ferdinand Omanyala baada ya kushinda fainali ya mita 100.

PARIS OLIMPIKI

Omanyala afanyia kazi mita 50 za mwisho akilenga medali ya Olimpiki ya Paris

 

Julius Yego, bingwa wa dunia mwaka 2015, akiwa mazoezini huko Miramas, Ufaransa

PARIS OLIMPIKI 2024

“Youtube Man” Julius Yego afurahia kushiriki Olimpiki yake ya nne jijini Paris

 

Lilian Odira baada ya kushinda fedha jijini Douala, Cameroon

 

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment