Iwapo umekataliwa!!!

Radio Fortune Africa -Bao la Asubui

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Na Cantona Joseph

UJUMBE MUHIMU: Kwa Wote Waliokataliwa…

Shujaa Aliyekataliwa…

Kuna watu ambao wamejitoa sana…

…ila bado hawajapewa thamani inayostahili.

Wapo ambao walifanya kila kitu kwa ajili ya familia zao…

Wakajinyima sana ili wasaidie ndugu zao…

Ila mwishoni waliiishia KUTUKANWA na KUUMIZWA.

Kuna wengine walijitoa kwa ajili ya OFISI zao.

Yaani, waliwekeza Kama za kwao…

Mwishoni waliishia KUFUKUZWA.

Wapo ambao waliwekeza kwa wapenzi/wenzi wao…

Ila mwishoni wakajikuta wametupwa nje kwa dharau kubwa…

Si unajua kuna wengine ambao walijitoa sana kwa ajili ya Taifa lao…

Ila mwishoni waliishia Kufanywa si KITU…

Inatokea kwenye maisha.

Na Mara nyingi, inaweza kukufanya uhisi Kama HAUNA THAMANI.

Kumbuka alichosema Mark Amend,

“Rejection doesn’t mean you are not good enough…

…it means the other person failed to notice what you have to offer”

Ukikataliwa haimaanishi wewe sio bora…

Inamaanisha ALIYEKUKATAA ameshindwa KUIONA THAMANI YAKO.

Nenda kwa ambaye anaweza kuiona.

Katika WACHACHE wasiotambua MCHANGO WAKO…

…wapo WENGI ambao WANAUTHAMINI.

Kama umejifunza kitu comment maneno “NIMEJIFUNZA KITU”

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment