Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: June 2024

Rwanda yasema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) lilidanganya mahakama ya Uingereza

Na Cantona Joseph: 13 Juni, 2024 Rwanda ilisema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) lilidanganya lilipoiambia mahakama ya Uingereza wiki hii kwamba waomba hifadhi… Read more “Rwanda yasema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) lilidanganya mahakama ya Uingereza”

June 16, 2024June 16, 2024 by CantonaDigital

Wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wameuwa zaidi ya watu 20 katika jimbo la Kivu Kaskazini DRC

Na Cantona Joseph:13 Juni, 2024 Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa Kiislamu waliwauwa zaidi ya watu 20 katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya… Read more “Wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wameuwa zaidi ya watu 20 katika jimbo la Kivu Kaskazini DRC”

June 16, 2024 by CantonaDigital

Marekani na wanachama wengine wa G7 wataipatia Kyiv mkopo wa hadi dola bilioni 50

Na Cantona Joseph:13 Juni, 2024 Marekani  imesema Alhamisi kuwa wao  na wanachama wengine wa G7 wataipatia Kyiv mkopo wa hadi dola bilioni 50 ambao zitalipwa kwa washirika… Read more “Marekani na wanachama wengine wa G7 wataipatia Kyiv mkopo wa hadi dola bilioni 50”

June 16, 2024 by CantonaDigital

Ramaphosa kutangaza baraza la mawaziri jumuishi katika serikali ya umoja wa kitaifa

Na Cantona Joseph:15 Juni, 2024 Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili baada ya chama chake cha ANC kudhoofika na kupoteza wingi… Read more “Ramaphosa kutangaza baraza la mawaziri jumuishi katika serikali ya umoja wa kitaifa”

June 16, 2024 by CantonaDigital

Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zalaani hatua za Iran kupanua mpango wa nyuklia.

Na Cantona Joseph:15 Juni, 2024 Ufaransa, Ujerumani na Uingereza Jumamosi zililaani hatua za hivi karibuni za Iran, kama ilivyoripotiwa na IAEA, ili  kupanua zaidi mpango wake wa… Read more “Ufaransa, Ujerumani na Uingereza zalaani hatua za Iran kupanua mpango wa nyuklia.”

June 16, 2024 by CantonaDigital

Jeshi la Marekani laanzisha wimbi la mashambulizi yaliyolenga maeneo yenye rada ya Wahouthi

15 Juni, 2024 Jeshi la Marekani limeanzisha wimbi la mashambulizi yaliyolenga maeneo yenye  rada yanayoendeshwa  na waasi wa Kihouthi wa Yemen kwa mashambulizi yao dhidi ya safari… Read more “Jeshi la Marekani laanzisha wimbi la mashambulizi yaliyolenga maeneo yenye rada ya Wahouthi”

June 16, 2024 by CantonaDigital

Ramaphosa kutangaza baraza la mawaziri jumuishi katika serikali ya umoja wa kitaifa

Na Cantona Joseph:15 Juni, 2024   Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, aliyechaguliwa tena kwa muhula wa pili baada ya chama chake cha  ANC kudhoofika na  kupoteza… Read more “Ramaphosa kutangaza baraza la mawaziri jumuishi katika serikali ya umoja wa kitaifa”

June 16, 2024 by CantonaDigital

Rais Ruto wa Kenya aunga mkono wito wa Papa Francis Kukomeshwa ghasia Sudan na DRC

Na Cantona Joseph 15 Juni 2024 Rais Ruto amuunga mkono Papa Francis kuitisha kukomeshwa ghasia Sudan na DRC Viongozi hao walizungumza katika mkutano wa viongozi wa nchi… Read more “Rais Ruto wa Kenya aunga mkono wito wa Papa Francis Kukomeshwa ghasia Sudan na DRC”

June 15, 2024 by CantonaDigital

Marry a man with common sense.

1: Marry a man that has sense enough to know that paying your bride price is not equal to buying you. 2: Marry a man who has… Read more “Marry a man with common sense.”

June 15, 2024 by CantonaDigital

What inspires faithfulness in marriage?

it will make faithulness easier to practice. The danger is when you get used to communicating frequently with another. Frequent communication keeps you both connected. Emotional faithfulness… Read more “What inspires faithfulness in marriage?”

June 15, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...