Somalia ipo tayari kudumisha utangamano wa AFRIKA Mashariki.

Somalia iko tayari kudumisha mtangamano wa Afrika Mashariki

Kulingana na Katibu Mkuu wa Afrika Mashariki, Somalia imeonesha nia thabiti ya kudumisha mtangamano huo.

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud (kushoto) akipongezwa na  Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan ya Kusini mara baada ya Somalia kuidhinishwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki./Picha: Wengine

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Veronica Mueni Nduva amesisitiza nia ya Jamhuri ya Shirikisho la Somalia katika kudumisha mtangamano wa jumuiya hiyo.

Akizungumza katika kikao cha wiki moja kinachoangazia mtangano wa EAC mjini Nairobi nchini Kenya, Nduva aliweka msisitizo kwenye muktadha wa kihistoria wa nchi ya Somalia unaliweka taifa hilo kwenye safari ya kuelekea na kufikia mtangamano wa Jumuiya hiyo yenye nchi wanachama nane.

“Jamhuri ya Shirikisho la Somalia ilipata kuwa mwanachama kamili wa EAC Machi 2024, baada ya kuwasilisha rasmi hati yake ya kuridhia Mkataba wa Kujiunga na Jumuiya hii, mkutano wa leo unaashiria hatua muhimu katika safari hii, kuoanisha michakato ya kitaifa ya Somalia na mifumo ya kikanda ili kuhakikisha ushirikiano wa kina,” alisema.

Kulingana na Nduva, mchakato huo utahusisha shughuli zinazopaswa kufanywa kwa pamoja kati ya Somalia na Mashirika na taasisi za EAC.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Veronica Mueni Nduva./Picha: EAC

“Mchakato huu unaelezea shughuli muhimu zilizoainishwa katika mipango ya kitaifa na yenye mwelekeo wa jamii. Hizi ni pamoja na kuoanisha mfumo wa kisheria wa Somalia na viwango vilivyowekwa vya kikanda na kuhakikisha ushiriki thabiti katika programu na shughuli za EAC,” aliongeza.

Kulingana na Nduva, hadi kukamilika kwake, mchakato huo utatumika kama nyenzo ya kimkakati ya kusawazisha programu na kukusanya rasilimali kwa ufanisi katika Jumuiya nzima.

Mwezi Mei, 2024, Somalia iliwasilisha hati ya idhini ya Mkataba wa Kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa katibu mkuu wa jumuiya hiyo katika makao makuu yake mjini Arusha, Tanzania, na kuifanya nchi hiyo kuwa mwanachama rasmi wa nane wa jumuiya hiyo

Radio Fortune Africa

Habari zinazohusiana

Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

Ukame Afrika Mashariki

Hussein Mwinyi: Chakula kipo cha kutosha

Hussein Mwinyi: Chakula kipo cha kutosha

Wasiwasi juu ya gharama na upatikanaji wa chakula visiwani Zanzibar hasa katika msimu huu wa Ramadhani wazua hofu kwa raia.

Serikali za Kenya na Uganda zatangaza tahadhari katika mipaka yao.

Serikali za Kenya na Uganda zatangaza tahadhari katika mipaka yao.

Tahadhari na vizuizi vya wekwa katika mipaka ya kenya na Uganda siku chache tangu Tanzania ithibitishe kuwa na watu waliopata maambukizi ya virusi vya Marburg.

Bandari kavu ya Tanzania kuanza kutoa huduma hivi karibuni

Bandari kavu ya Tanzania kuanza kutoa huduma hivi karibuni

Bandari kavu ya Tanzania iliyopo Kwala inatarajiwa kutoa huduma kwa nchi zote za afrika mashariki na kati hasa ambazo hazina bahari.

Makala yanayovuma katika kategoria hii

Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea

Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea

Waandamanaji mjini Nairobi wamesema wataelekea kwenye ukumbi wa Bunge la Taifa huku kukiwa na ulinzi mkali wa polisi.

Nigeria: Mamilioni ya wasichana wapata chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi

Nigeria: Mamilioni ya wasichana wapata chanjo dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi

Maofisa wa nchi hiyo wamepongeza hatua dhidi ya virusi vinavyosababisha magonjwa ya zinaa (HPV).

Houthi: Tulitumia 'silaha mpya' kuzamisha meli ndani ya Bahari Nyekundu

Houthi: Tulitumia ‘silaha mpya’ kuzamisha meli ndani ya Bahari Nyekundu

Mashambulizi ya Israeli katika eneo la Gaza yameingia siku ya 258 yakiwa yameua Wapalestina 37, 396, wengi wakiwa ni akina mama na watoto wadogo, na kujeruhi 85,523, huku zaidi ya watu 10,000 wakihofiwa kufukiwa na vifusi.

'Enzi mpya': Ramaphosa wa Afrika Kusini aapishwa kwa muhula wa pili

‘Enzi mpya’: Ramaphosa wa Afrika Kusini aapishwa kwa muhula wa pili

Cyril Ramaphosa anasema muhula wake mpya kama mwanzo wa enzi mpya.

Nini kingine ungependa kujua?

Vile vile

Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

Hussein Mwinyi: Chakula kipo cha kutosha

Hussein Mwinyi: Chakula kipo cha kutosha

Serikali za Kenya na Uganda zatangaza tahadhari katika mipaka yao.

Serikali za Kenya na Uganda zatangaza tahadhari katika mipaka yao.

Bandari kavu ya Tanzania kuanza kutoa huduma hivi karibuni

Bandari kavu ya Tanzania kuanza kutoa huduma hivi karibuni

“Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki

“Uturuki ni rafiki iwe mvua au Jua” ubalozi wa Tanzania, Uturuki

Maarufu

Katika Picha: Vijana waliochoshwa na vita DRC wapata faraja mchezo wa kuteleza

DRC: Jeshi la Kongo lataka ushirikiano wa raia ili kuwadhibiti wanamgambo

Ukame wapelekea changamoto ya kiafya nchini Somalia

Kenya yatangaza ubinafsishaji wa makampuni yake ya serikali

Raia wa Nigeria waanza mfungo wa Ramadhani huku kukiwa na uhaba wa noti za benki

Shirika

Majukumu ya Kisheria

Tovuti hii hutumia vidakuzi. Kwa kuendelea kuangalia tovuti hii, unakubaliana na utumizi wa vidakuzi.

All Rights Reserved © Cantona Group Ltd|2024

Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment