Nchini DRC,serikali yatakiwa kuukomboa mji wa Bunagana kutoka kwa M23.


DRC:Serikali mpya yatakiwa kuukomboa mji wa Bunagana kutoka kwa M23
Mashirika ya kiraia, pamoja na wanaharakati wa haki za binadamu mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo wameitaka Serikali mpya ya nchi hiyo iliyozinduliwa hivi karibuni, kuweka wazi mikakati ili kuukomboa Mji wa Bunagana ambao ulianguka mikononi mwa Waasi wa

Wanajeshi wa Uganda (UPDF) wakiwa katika upande wa Uganda wa mji wa mpakani wa Bunagana, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakati wakisubiri kutumwa Machi 30, 2023.
Wanajeshi wa Uganda (UPDF) wakiwa katika upande wa Uganda wa mji wa mpakani wa Bunagana, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakati wakisubiri kuingia mji huo
Waasi hao wa M23 walichukua udhibiti wa mji huo mwezi Juni 13, Mwaka 2022. Rwanda ikiendelea kutuhumiwa kwa kuwaunga mkono waasi hao.

Mji huu wa mpakani, ambao unafungua njia ya moja kwa moja kwa nchi jirani ya Uganda, unachukuliwa kuwa wa kimkakati kijeshi na kiuchumi, na tangu kutekwa kwake, mapigano makali yaliendelea hadi maeneo ya Masisi ambapo jeshi la serikali ya Congo FARDC likishirikiana na wazalendo wamekuwa wakiendelea na mapigano kujaribu kurejesha maeneo yote mikononi mwake.

Wanajeshi wa Kongo katika mji wa Bunagana.
Wanajeshi wa Kongo katika mji wa Bunagana. AFP – HABIBOU BANGRE
Miaka miwili baadaye eneo hili la Bunagana linachukuliwa kuwa makao makuu ya vuguvugu hili la uasi, ambapo kutokea hapo, mikutano na majadiliano ya ndani yanafanyika.

Serikali ya Kinshasa kupitia kwa Naibu Waziri Mkuu mpya na Waziri wa Ulinzi, Guy Kabombo Muadiamvita, imejiapiza kuyakomboa maeneo yote yaliyo chini ya udhibiti wa M23 kwa nguvu, na kwamba haiko tayari kufanya mazungumzo na waasi hao.

Soma zaidi mada inayofanana:
DRC
Rwanda
M23
Kuhusu mada hiyohiyo
Wanajeshi wa Uganda (UPDF) wakiwa katika upande wa Uganda wa mji wa mpakani wa Bunagana, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakati wakisubiri kutumwa Machi 30, 2023.
DRC:Serikali mpya yatakiwa kuukomboa mji wa Bunagana kutoka kwa M23
Mmoja wa wakulima wa zao la Muguka katika kaunti ya Embu katika mkoa wa kati nchini Kenya.
Faida za Muguka pamoja na madhara yake yaweka wenyeji wa Embu njia kuu
Waziri wa fedha nchini Kenya Njuguna Ndung’u wakati wa kuwasilisha bajeti katika taifa hilo la Afrika Mashariki.

Nairobi, Kenya


Mataifa ya Afrika Mashariki yamewasilisha bajeti zao wiki hii
Raia wengi wa mataifa ya Afrika Mashariki hutumiwa zao la miraa haswa katika nchi za Kenya na Somalia.
Kenya: Athari za marufuku ya soko la muguka katika sekta zengine
Waandamanaji wanaopinga sheria inayoruhusu waomba hifadhi walioingia Uingereza kinyume cha sheria kuhamishwa hadi Rwanda, mjini London, Mei 8, 2024.


Rwanda yakashifu UNHCR kuhusu mpango wa waomba hifadhi na Uingereza
Ziwa Mai-Ndombe , DRC, ambapo watu 80 walikufa maji baada ya boti kuzama.
DRC: Zaidi ya watu 80 wamefariki katika ajali ya boti Mai-Ndombe
Kaunti za Pwani ya Kenya zimepiga marufuku soko la muguka, wakulima wa zao hilo wakisema wamekabiliwa na hasara kubwa tangu kutangazwa kwa marufuku hiyo.
Mahangaiko ya wakulima wa Muguka baada kupoteza soko lao pwani ya Kenya
Waziri Mkuu Judith Suminwa aliwasilisha mpango kazi wa Serikali yake katika Bunge la taifa Jumamosi Juni 8, 2024.


DRC: Suala la ajira na usalama ni kipau mbele cha serikali mpya
Mshtakiwa Emmanuel Nkunduwimye akihudhuria muundo wa jopo la majaji kwa ajili ya kesi yake, katika Mahakama ya Brussels, Ubelgiji, Aprili 3, 2024.


HAKI-SHERIA


Mauaji ya kimbari ya Watutsi Rwanda: Emmanuel Nkunduwimye ahukumiwa Brussels miaka 25 jela
Mwanamke akiwa ameshikilia zao la Muguka katika moja ya masoko katika Pembe ya Afrika.
Wakulima wa Muguka wapinga marafuku ya kuuzwa kwa zao hilo pwani ya Kenya
Kituo cha mafuta huko Bujumbura, Burundi mnamo Februari 20


Burundi yakabiliwa na uhaba mkubwa zaidi wa mafuta
Kundi la ADF limeendelea kutekeleza mashambulio licha ya kuwepo kwa operesheni Shujaa, tangu mwezi Novemba mwaka 2021.


DRC: Zaidi ya raia 10 wameuawa katika shambulio la ADF wilayani Beni
Diane Rwigara alitaka kuwania urais Agosti 2017, lakini nia yake ilikataliwa kutokana na madai ya kughushi nyaraka.


UCHAGUZI-SIASA
Rwanda: Diane Rwigara akataliwa kuwania katika uchaguzi wa rais Nchini Rwanda.

Pichani: Diane Rwigara.

OUR PRODUCTS:

Cantona Digital

Queens Safaris

SkizaRecords

FBE Records

FBE Photography

FBE Brands& Events Management Ltd

Let’s do Business/Let’s Build Brands.

Build Brands for Generations.All Rights|Reserved ©|Cantona Group Ltd


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment