Ni wewe Mkombozi wa familia,Pambana.

Bado Mungu anatafuta MTU katikati ya mazingira yanayoonekana hayana matumaini…

Kwenye jamii yoyote ile, kuna wakati huwa unafika na inaonekana kama…

…hakuna TUMAINI tena kwa sababu ya CHANGAMOTO zinazoendelea.

Kuna watu wakiangalia FAMILIA zao wanaona…

…ni Kama hakuna mtu anayeweza kubadilisha HISTORIA.

Wapo wengine ambao, wakiangalia kinachoendelea kwenye OFISI zao…

…ni kama MWISHO umefika na hakuna namna mambo yanaweza kubadilika.

Hisia kama hizi zipo kwa watu waliopo kwenye biashara, Siasa, Dini n.k

Unachotakiwa kukumbuka ni kuwa…

…MAJIRA kama haya yamewahi kutokea mara kadhaa hapa DUNIANI.

Kila wakati yalipojitokeza, Mungu alichofanya ni…

…KUINUA MTU kutoka katikati ya JAMII husika INAYOHITAJI MSAADA.

Mtu huyo anaweza kuwa WEWE.

Badala ya kukata tamaa na kuendelea kulaumu Kama wao.

Leo sema “NIKO TAYARI KUTUMIWA”…

…ili umruhusu Mungu akutumie KULETA SULUHISHO.

Ni ZAMU YAKO!

Kama umejifunza kitu comment neno “NIKO TAYARI”

OUR PRODUCTS:
Cantona Digital
Queens Safaris
SkizaRecords
FBE Records
FBE Photography
FBE Brands& Events Management Ltd

Let’s do Business/Let’s Build Brands.

Build for Generations

All Rights|Reserved ©|Cantona Group Ltd


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment