Kuna wakati ADUI zako watapanga mipango ya kukudhoofisha au kukumaliza…
Ukijiangalia utaona hauna NGUVU na UWEZO wa kukabiliana nao kabisa.
Usisahau kuwa njia ya kuwashinda adui zako sio tu kupitia uwezo wako, kuna wakati Mungu atakachofanya ni KUWAFARAKANISHA.
Yaani, ni kweli watakutana na watapanga mipango ya pamoja, Ila cha ajabu ni kuwa; baada ya muda fulani wataanza kugombana wenyewe kwa wenyewe na watashindwa kutekeleza walichopanga.
Nakuombea ushindi kinyume na wale wote waliojikusanya kuwa kinyume nawe.
Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia.
OUR PRODUCTS:
Cantona Digital
Queens Safaris
SkizaRecords
FBE Records
FBE Photography
FBE Brands& Events Management Ltd
Let’s do Business/Let’s Build Brands.
Build Brands for Generations.
All Rights|Reserved ©|Cantona Group Ltd
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.