Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: May 2024

Tahadhari ya kimbunga Hidaya!!!

Mwishoni mwa wiki kulikuwa na tahadhari kubwa nchini Tanzania na Kenya kuhusu hatari ya Kimbunga Hidaya ambacho kilipoteza nguvu baada ya kupiga kisiwa cha Mafia. Watu wawili… Read more “Tahadhari ya kimbunga Hidaya!!!”

May 7, 2024 by CantonaDigital

Rais wa Ufaransa akutana na Mwenzake wa China.

Rais wa Ufaransa #EmmanuelMacron amemtaka mwenzake wa China #XiJinping anayezuru Paris kushirikiana kwa ukaribu na bara Uropa haswa wakati huu ambapo Urusi imeivamia #ukraine pamoja na kukubali… Read more “Rais wa Ufaransa akutana na Mwenzake wa China.”

May 7, 2024 by CantonaDigital

Mtu aliyekataliwa!!!

UJUMBE MUHIMU: Kwa Wote Waliokataliwa… Kuna watu ambao wamejitoa sana… …ila bado hawajapewa thamani inayostahili. Wapo ambao walifanya kila kitu kwa ajili ya familia zao… Wakajinyima sana… Read more “Mtu aliyekataliwa!!!”

May 7, 2024 by CantonaDigital

Unapopoteza hamasa!!!

UJUMBE MAALUM: Kwa Wote Waliopoteza Hamasa Maishani… Ile Hamasa Yako Imeenda Wapi? Mbona Kama kuna kitu UMEKIPOTEZA? Kuna hamasa ulikuwa nayo Juu ya maono yako… Biashara au…… Read more “Unapopoteza hamasa!!!”

May 6, 2024 by CantonaDigital

Utapataje Pesa Nguvu zako zikiisha?

… …Kwa mujibu wa utafiti uliowahi Kufanya na mtaalamu Michael Bukwimba kuhusu wastaafu wa Tanzania… …ilionekana kuwa 86.49% ambao wanategemea pensheni peke yake wako kwenye hatari ya… Read more “Utapataje Pesa Nguvu zako zikiisha?”

May 4, 2024 by CantonaDigital

Baraka au Tishio.

Ulichonacho: Kwa Wengine ni Baraka, Kwa Wengine ni Tishio Sio kila kizuri ulichonacho kitakuwa na mtazamo sawa kwa kila mtu. Kuna wengine Kipaji, Nafasi, Ushawishi n.k ulionao… Read more “Baraka au Tishio.”

May 2, 2024May 2, 2024 by CantonaDigital

Ni ajabu ndio Uhalisia!!!

Wanasubiri Ufike Juu Ndio Wakusapoti… Kuna watu HAWATAKUSAPOTI hadi utakapofika JUU. Yaani, Hawa ni wale ambao wanasubiri kila mtu akusapoti… …ndipo na wao wakusapoti. Kuna watu ni… Read more “Ni ajabu ndio Uhalisia!!!”

May 1, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar