MUUNGANO wa Afrika (AU) umefungua malango yake kwa wagombeaji zaidi katika uchaguzi ujao wa mwenyekiti na naibu wa Tume ya Bara (AUC) kuwasilisha nakala zao au kujiondoa… Read more “Raila hapumui,AU yafungulia mlango wagombea zaidi.”
Month: May 2024
Peter Kenneth adai siasa hasi za Mlima Kenya ni yangu jadi.
ALIYEKUWA mwaniaji wa urais mwaka wa 2013 Bw Peter Kenneth, amesema kwamba siasa hasi zinazojitokeza dhidi ya Mlima Kenya si geni, ni za tangu jadi. Bw Kenneth… Read more “Peter Kenneth adai siasa hasi za Mlima Kenya ni yangu jadi.”
Wanariadha wapigania nafasi ya kushiriki Olimpiki Jijini Paris Ufaransa.
KAMATI ya Kitaifa ya Olimpiki (NOC-K) inataka marekebisho yafanywe kwa sera ya marupurupu ya wanariadha, huku tarehe ya kuanza kwa Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 ikikaribia.… Read more “Wanariadha wapigania nafasi ya kushiriki Olimpiki Jijini Paris Ufaransa.”
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta atuzwa.
KIUNGO mahiri wa Real Madrid Jude Victor William Bellingham ametwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ligi K uu ya Uhispania maarufu kama La Liga. Hayo yalijiri huku… Read more “Meneja wa Arsenal Mikel Arteta atuzwa.”
Athari za mbungo!
UVAMIZI wa mbung’o na kusambaa kwa ugonjwa wa malale katika sehemu nyingi nchini sasa unatishia sekta ya utalii, mkurugenzi wa Baraza la Kitaifa la Kukabiliana na Mbung’o… Read more “Athari za mbungo!”
18 ways to strengthen your relationship.
Love is perhaps our most powerful emotion, and the need to be in a loving relationship may be one of the strongest needs we have. Being in… Read more “18 ways to strengthen your relationship.”
Mwili wa Kirui utasalia Mlima Everest.
Baada ya kifo cha Mkenya Joshua Cheruiyot Kirui kwenye Mlima Everest mnamo Mei 22, 2024, familia imefanya uamuzi mgumu wa kuacha mwili wake ubaki kwenye Mlimani. Mwili… Read more “Mwili wa Kirui utasalia Mlima Everest.”
Walimu wa JSS waelezea masaibu wanayopitia.
Picha:Radio Fortune Africa WALIMU wa Shule za Sekondari Msingi (JSS) katika Kaunti ya Kilifi, wameeleza masaibu ambayo wamekuwa wakiyapitia kazini. Bi Stacy Munga, mwalimu katika mojawapo ya… Read more “Walimu wa JSS waelezea masaibu wanayopitia.”
Ruto:Reduce Pan Africanism from 275-100 Seats.
President William Ruto while addressing the opening of the African Development Bank Annual Meetings in Nairobi on May 29, 2024.Image: PCS President William Ruto has proposed that… Read more “Ruto:Reduce Pan Africanism from 275-100 Seats.”
Unjust global financial fabric, overburdening Africa.
President William Ruto on Wednesday reiterated his clarion call for the reform of the global financial architecture to address debt and climate vulnerabilities in Africa. Ruto told… Read more “Unjust global financial fabric, overburdening Africa.”