Unatilia Shaka Nini!!!

https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=MmFPjY2YTKSpGSrm
Kwa Nini Unajione Shaka?

Kama usingejionea Shaka…

Tayari ungekuwa umeshaongea kile ambacho kila siku UNAGHAIRISHA.

Na cha ajabu ni kuwa…

Matokeo yasingekuwa mabaya Kama unavyodhani.

Kutilia Shaka UWEZO wako ndio kunafanya…

…wale walio na uwezo mdogo wapate nafasi zaidi ya wenye uwezo mkubwa Kama wako.

Kuna vitu INAWEZA kuwa VIMEUA KUJIAMINI kwako.

Inawezekana ni WATU KUTOTAMBUA mchango wako unaoutoa Kwenye ofisi, familia, Mwenza n.k…

Hii imekufanya ukose NGUVU ya Kufanya Tena.

Au, inawezekana ni KUFELI ambako umekutana nako…

…kulikokufanya USIAMINI tena Kama unaweza kufanya.

Pengine ni AIBU ambayo UMEKUTANA nayo…

…inayokufanya UKOSE ujasiri tena wa kufanya.

Kwa vyovyote vile, lazima UKABILIANE NA HOFU ZAKO – “You Must Confront Your Fears”.

Hofu inapata nguvu UKIIKIMBIA.

Amua kuikabili leo na UTENGENEZE mwanzo MPYA wa MAISHA yako.

Kama umejifunza kitu comment maneno “NITAIKABILI HOFU YANGU”

©️ Cantona Group Ltd
All Rights Reserved


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment