Unaweza kuwa Bora zaidi.

Kama Ulishawahi Kufanyiwa Ubaya Basi Nisikilize Kwa Makini Sana…

Usikubali akukute Kama ALIVYOKUACHA

Kuna watu ambao wamekufanyia VISA…

Na wanaamini utabakia hivyohivyo miaka yote…

Wako ambao walikuchafua kwa makusudi…

Na wanataka miaka yote uishi ukiwa umedumaa…

Kuna wengine ambao walikuacha kwa DHARAU.

Wanataka wakuone ukiendelee kudhoofika na KUPOTEZA MWELEKEO.

Si unajua, wapo ambao wamekueletea HASARA…

Na shauku yao ni kuona HAUPIGI HATUA.

Yaani, wanataka wakirudi baada ya miaka kadhaa wakukute Hapo Hapo.

Usihangaike KUBISHANA NAO.

Fanya kile ambacho, Frank Sinatra alisema

“The Best Revenge is Massive Success”

Yaani KISASI kizuri ni KUFANIKIWA SANA.

Usikubali baada ya muda WAKUKUTE Kama WALIVYOKUACHA.

Wafanye washangae kwa HATUA ambayo utakuwa UMEPIGA TAYARI.

Kama umejifunza kitu comment maneno “SITA KUBALI WANIKUTE KAMA WALIVYONIACHA”

Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 4 ninazoweza kukusaidia.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment