Karibu tena katika episode nyingine. Leo tukumbushane kuhusu kitu kimoja. Usipoteze furaha. Watu wengi sana wanaamini kuwa siku wakifika hatua fulani ya maisha, basi furaha itakuwa kubwa.… Read more “Jinsi ya kuwa na furaha!!!”
Month: April 2024
Uhusiano ni zaidi ya usaidizi!!!
Usivunje mahusiano na mtu kwa sababu umehitaji msaada kwake na unajua… …ana uwezo wa kukusaidia ila hajakusaidia. Sio kila wakati mtu atakupa msaada pale unapotaka. Kuna wakati… Read more “Uhusiano ni zaidi ya usaidizi!!!”
Pesa huwa hazitoshi!!!
USISAHAU kuwa hakuna siku UTAKUWA na PESA za KUKUTOSHA bila kuhitaji ZAIDI. Kila KIPATO chako KINAPOONGEZEKA, ndivyo ambavyo UTAHITAJI ZAIDI… …kwa sababu MAJUKUMU YATAONGEZEKA na pia utaongeza… Read more “Pesa huwa hazitoshi!!!”
Mtambue adui ili uishi naye!!!
Adui yako wa kweli siyo mtu anaekudharau kwa sababu ya umaskini wako, bali ni mtu yule anaekuchukia kwa sababu ya mafanikio yako.Leo kuna watu watakupenda kwa sababu… Read more “Mtambue adui ili uishi naye!!!”
Hasira Hasara!!!
HASIRA za HARAKA zimewaingiza watu wengi sana kwenye MAJUTO. Ukikasirishwa, jitahidi sana USISEME au KUFANYA jambo ambalo UTALIJUTIA. Kuna wengi sana kwa sababu ya hasira, walijikuta WAKISUSIA… Read more “Hasira Hasara!!!”
Jinsi ya kuwa na Furaha!!!
Karibu tena katika episode nyingine. Leo tukumbushane kuhusu kitu kimoja. Usipoteze furaha. Watu wengi sana wanaamini kuwa siku wakifika hatua fulani ya maisha, basi furaha itakuwa kubwa.… Read more “Jinsi ya kuwa na Furaha!!!”
Jiulize swali Kila siku!
Mwanzilishi mwenza wa kampuni ya Apple, Steve Jobs aliwahi kusema kuwa… …kila siku asubuhi alikuwa anajiuliza swali… “Kama leo ingekuwa siku yangu ya mwisho kuishi, ningeishi kama… Read more “Jiulize swali Kila siku!”
Kuwa kama Nyuki:Tengeneza asali mwanangu.
Siku moja nikiwa nasema na mentor wangu Mwendazake Mama yangu mzazi Queen Elizabeth Endesha aliniambia… “Great Things Never Come from the Comfort Zone”. Akimaanisha, mambo makubwa kwenye… Read more “Kuwa kama Nyuki:Tengeneza asali mwanangu.”