“Ni Nani Atalitaja Jina Lako Kwa Mfalme?” Hivi unajua kuna watu wana VIPAJI na UWEZO wa kipekee… …Ila changamoto ni kuwa HAKUNA ANAYEWATAJA? Ni ukweli usiopingika kuwa,… Read more “Destiny Connectors!!!”
Month: April 2024
The moment you feel you can’t take it anymore!!!
Kwa Ambao Mwili Bado Unatembea, Ila Moyo Ulishazimia… Siku moja, nilipigiwa simu na mtu ninayemuadmire akaniambia… “I feel like I can’t take it anymore, I better die”… Read more “The moment you feel you can’t take it anymore!!!”
Anayekuambia ukweli Ni Jasiri!!!
“Nani ataniambia Ukweli Ili Nisiangamie?” Kuna wakati kwenye maisha, USALAMA wako… …uko mikononi mwa watu wenye UJASIRI wa kukuambia ukweli ili USIANGAMIE. Kuna watu wengi ambao wanapata… Read more “Anayekuambia ukweli Ni Jasiri!!!”
Usiende Peke Yako Ni Hatari!!!!
Siku moja mfalme wa Babeli aliamua kumpandisha cheo Daniel na kumuheshimisha sana. Cha ajabu, kwa haraka sana Daniel akaomba pia rafiki zake wa karibu (Shedrack, Meshack na… Read more “Usiende Peke Yako Ni Hatari!!!!”
Hekima uwezo wa kukitumia unachokijua kwa usahihi!!!
Mwanzo 41:33 “Basi, Farao na AJITAFUTIE mtu wa AKILI na HEKIMA amweke JUU ya NCHI ya Misri”..Nafasi yoyote ya UONGOZI kwenye level ya nchi kwenye SEKTA yoyote… Read more “Hekima uwezo wa kukitumia unachokijua kwa usahihi!!!”
Don’t focus on your pain,focus on the reward.
Yaani, kila mtu kuna MAUMIVU huwa anayapitia kutokana na CHANGAMOTO za maisha. Kuna watu ambao akikutana na MAUMIVU basi huwa anaacha kuendelea mbele. Yaani kuna watu maumivu… Read more “Don’t focus on your pain,focus on the reward.”
Ujasiri wa kwenda hata wakati unaona hatari!!!
Wananitaka Mimi, Acha Niende Waniue Kwa mujibu wa mtu pekee ambaye alinusurika kwenye mauaji ya tarehe 15/10/1987… …ndugu Halouna Traore, anasema kwamba aliyekuwa Rais wa Burkina Faso…… Read more “Ujasiri wa kwenda hata wakati unaona hatari!!!”
Manufaa ya kujadili mawazo!!!
Leo nimejiuliza swali, hivi mimi huwa najadili nini na watu wangu wa karibu? Mwaka 1968 Bill Gates alikutana na rafiki yake Paul Allen ambaye walikuwa wanasoma darasa… Read more “Manufaa ya kujadili mawazo!!!”
Jenga misuli ya upambanaji!!!
https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=MmFPjY2YTKSpGSrmLeo tuzungumze kuhusu namna ya kuvuka nyakati ngumu. Kwenye maisha kuna wakati, matatizo unapambana nayo na yanaisha. Ila kuna wakati hayo matatizo hayatoki kwa haraka. Unapitia matatizo… Read more “Jenga misuli ya upambanaji!!!”
Majuto Ni Mjukuu!!!
Watu wengi ambao UMRI wao UMEENDA sana, nilipokutana nao wamekuwa na MAJUTO YANAYOFANANA. Yaani, wengi wao HAWAJUTII sana kwa MAKOSA waliyofanya, kwa sababu walipata muda wa KUYAREKEBISHA… Read more “Majuto Ni Mjukuu!!!”