Yaani, kila mtu kuna MAUMIVU huwa anayapitia kutokana na CHANGAMOTO za maisha.
Kuna watu ambao akikutana na MAUMIVU basi huwa anaacha kuendelea mbele.
Yaani kuna watu maumivu ya KUPOTEZA PESA…
…yamewafanya wamechoka kabisa na hawataki kufanya kitu tena.
Kuna wale ambao maumivu ya MAPENZI, yamewafanya wajione HAWANA THAMANI TENA…
…na hawataki KUFURAHIA MAISHA TENA.
Halafu kuna wale, tangu wadharauriwe na BOSI, NDUGU, WAZAZI au MWENZI wao…
…basi wameshikilia hayo maumivu na WAMEKWAMA kabisa, HAWAENDELEI MBELE.
USIWEKE jicho na akili yako kwenye maumivu.
Jikite kwenye ULICHOJIFUNZA na HEKIMA uliyoipata.
Maumivu uliyoyapitia TAYARI, huwezi kuyafuta ila…
…unaweza KUFAIDIKA nayo kwa KUCHUKUA MASOMO uliyoyapata.
Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA KITU”.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.