Pesa huwa hazitoshi!!!

USISAHAU kuwa hakuna siku UTAKUWA na PESA za KUKUTOSHA bila kuhitaji ZAIDI.

Kila KIPATO chako KINAPOONGEZEKA, ndivyo ambavyo UTAHITAJI ZAIDI…

…kwa sababu MAJUKUMU YATAONGEZEKA na pia utaongeza UKUBWA wa MAONO YAKO.

Jifunze KUTHAMINI KILA PESA unayopata kwenye maisha yako…

…bila KUJALI ni NDOGO kiasi gani.

USISAHAU kuwa pesa ambayo leo UNAIONA NDOGO…

…kuna siku za hapo nyuma ilikuwa NDOTO YAKO KUIPATA na hata ulikuwa unamuomba MUNGU akupe.

Kila PESA unayopata, ndani yake kuna MBEGU kwa ajili ya kesho…

…na kuna MKATE kwa ajili ya LEO, usiitumie YOTE.

Kama vile mkulima mwenye HEKIMA ambavyo kwenye kila MAVUNO huwa anatunza MBEGU za MSIMU UJAO…

…na wewe ni vivyo hivyo, jitahidi kuanza kuweka AKIBA kwa ajili ya kesho.

Si lazima UANZE na kiwango KIKUBWA sana…

…ANZA na KIDOGO na uijenge IWE TABIA YAKO.

Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 3 ninazoweza kukusaidia.

Mafunzo ziada ya kutimiza maono yako

Sikiliza Radio Fortune Africa on Google kote duniani.

#TheHeartBeatofAfrica


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment