HASIRA za HARAKA zimewaingiza watu wengi sana kwenye MAJUTO.
Ukikasirishwa, jitahidi sana USISEME au KUFANYA jambo ambalo UTALIJUTIA.
Kuna wengi sana kwa sababu ya hasira, walijikuta WAKISUSIA VITU/MTU wanayempenda na wanayemuhitaji na wengine WAKIKUBALI MTU/KITU wasichokipenda.
Mara nyingi sana, HASIRA na HEKIMA huwa hazikai PAMOJA.
Jitahidi wakati wowote unapokuwa na HASIRA kujipa MUDA kidogo ili HEKIMA ichukue NAFASI yake.
USISAHAU kuwa, Kuna watu ambao WATAKUTIA HASIRA makusudi kwa sababu wanajua UTAFANYA/KUSEMA kitu ambacho KITAKUGHARIMU wewe na KITAWAFANIKISHA wao.
Leo Kuna watu WAMEJIANDAA ili waseme/wafanye mambo yatakayokutia HASIRA, uwe MAKINI NAO.
Muda wowote ukiwa tayari nikusaidie kutimiza malengo yako hizi ndio namna 3 ninazoweza kukusaidia.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.