Na. Mtume Na Cantona Joseph Katika maisha yako ya hapa duniani utajiri wako mkubwa unaopaswa kujivunia ni ule uwezo ambao Mungu amekuamini na kukupatia. Kila mtu ana… Read more “Usiambatane na watu wanaoudharau uwezo wako.”
Month: April 2024
Pigo la Mungu nyuma ya tatizo la mtu
Pamoja na maandiko kututaka kuwa na huruma na kusaidia maskini, yatima, wajane, walemavu na watu mbalimbali lakini ipo haja ya kumshirikisha Mungu katika kila tendo jema unalotaka… Read more “Pigo la Mungu nyuma ya tatizo la mtu”
Wewe una Njaa Ya Nini?
Unachokitafuta kuna mtu anacho tayari na… …pia wapo wengi wanaokitafuta kama wewe. Moja ya kitu kinatofautisha tabia zetu ni kiwango cha “Njaa”… …ulichonacho kwenye kila unachokitafuta. Watu… Read more “Wewe una Njaa Ya Nini?”
Nitafute hadi ujipate!
Watu wengi wamekubali kuwa vile ambavyo watu wengine WALITARAJIA. Yaani, mipaka ya mafanikio yao na WANAVYOWEZA kuwa… …imewekwa na MAONI ya watu wengine badala ya MAONO yao.… Read more “Nitafute hadi ujipate!”
Likomboe Taifa lako!!!
Ni Wakati Wa Watu Wakuu Kuinuka Kwenye Taifa… Kwenye kila Taifa huwa kuna MAJIRA ya kuinuliwa watu MUHIMU kwenye kizazi cha wakati huo…Danieli alifanyika bora Havana aliyehudumu… Read more “Likomboe Taifa lako!!!”
Kuna mda wa kujiandaa!!!!
Baadhi ya VITU kwenye maisha yako UTACHELEWA kuvipata SIO kwa sababu MUNGU HATAKI uvipate… …ila ni kwa sababu UNAPEWA MUDA WA KUJIANDAA. Kila BARAKA MPYA inayokuja kwenye… Read more “Kuna mda wa kujiandaa!!!!”
Unapojitoa zaidi ya wengine!!!
Ni kweli kuna wengine HAWAJITOI kama wewe UNAVYOJITOA. Kuna wakati unaweza kufika hatua ukaona kama vile UNAJIUMIZA sana… …ukilinganisha na wengine. Yaani unatumia NGUVU na MUDA mwingi… Read more “Unapojitoa zaidi ya wengine!!!”
Jitahidi uwe sehemu ya mtu katika mchakato!!!
Jitahidi Uwe Sehemu Ya Mkuu Anapokuwa Kwenye MCHAKATO. Watu wengi sana huwa wanasubiria mtu afike JUU kwenye… Biashara, Kipaji, Uongozi n.k… …ili waanze kutengeneza mahusiano imara, ni… Read more “Jitahidi uwe sehemu ya mtu katika mchakato!!!”
Uwe makini kabla ya kuhamisha kambi!!
Mwanzo 13:12 Abram AKABAKI nchini Kanaani na Lutu akakaa kati ya miji iliyokuwa bondeni, AKAHAMISHIA KAMBI yake Sodoma. Baada ya LUTU kuona amefanikiwa na ameanza KULINGANA na… Read more “Uwe makini kabla ya kuhamisha kambi!!”
Wafahamu watu hawa watano!!!
https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=MmFPjY2YTKSpGSrmJe, Wewe Unao Hawa WATU WATANO? Hivi ni nani ATABAKIA na WEWE? Wako wengi ambao wanafurahishwa na KICHEKO chako. Kuna wengi ambao wanavutiwa na FURAHA yako. Swali… Read more “Wafahamu watu hawa watano!!!”