Zaidi ya watoto 70 hawajulikani walipo kufuatia mashambulio ya hivi karibuni ya wanajihadi wa kiislamu katika jimbo la kaskazini la Cabo Delgado nchini Msumbiji, mamlaka nchini humo… Read more “Watoto zaidi 70 hawajulikani walipo,nchini Msumbiji.”
Month: March 2024
Rais Biden na Donald Trump kushinda kinyang’anyiro cha uteuzi wa vyama.
Rais Joe Biden na Donald Trump kila mmoja anakadiriwa kuwa ameshinda katika kinyang’anyiro cha uteuzi wa vyama vyao katika majimbo kadhaa usiku wa kuamkia leo. Hiyo inatokana… Read more “Rais Biden na Donald Trump kushinda kinyang’anyiro cha uteuzi wa vyama.”
HAIFAHAMIKI ALIKO KANALI ALPHA SANGARE
Nchini Mali, hadi sasa haifahamiki mahali aliko kanali Alpha Yaya Sangare, ambaye juma hili alichapisha kitabu kinachoelezea changamoto za ugaidi barani Afrika, ambamo ndani yake alinukuu ripoti… Read more “HAIFAHAMIKI ALIKO KANALI ALPHA SANGARE”
AFRIKA LEO MCHANA
Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kufanya uaviaji mimba kuwa haki ya kikatiba, hata hivyo makundi ya kupinga vitendo hivyo yakiongozwa na kanisa katoliki yamekosoa vikali hatua… Read more “AFRIKA LEO MCHANA”
Somalia na Uturuki watia saini makubaliano.
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema kuwa Uturuki ndiyo mshirika bora na kuwa uwezo wake wa kiteknolojia, kifedha na ujuzi wa kujenga jeshi la wanamaji kutasaidia… Read more “Somalia na Uturuki watia saini makubaliano.”
First Man v/s Second Man.
The First Man falls,the Second Man conquers.Satan used a woman to bring down the human race,God uses woman to bring the redemer into the world.The first man… Read more “First Man v/s Second Man.”
Nje unaonekana una misuli,lakini ndani dhaifu.
UBAYA wa kuonekana wewe ni mtu mwenye NGUVU na HODARI ni kuwa hakuna MTU ATAKUULIZA HALI YAKO. Kuna wengi ambao HAWAJUI, HAWAWEZI KUAMINI na hawawezi KUKUBALI kuwa,… Read more “Nje unaonekana una misuli,lakini ndani dhaifu.”
Kuchekwa kupo!Chagua utachekwa msimu upi!!!
Maalum Kwa Wanaoogopa Kuchekwa… Ukifanya na USIPOFANIKIWA utachekwa… Ukijaribu kuanza na UKAFELI utachekwa… Usipofanya ukabakia ULIPO utachekwa… Wengine watakucheka kwa kujaribu UJANANI kwa sababu ulifeli… Wengine watakucheka… Read more “Kuchekwa kupo!Chagua utachekwa msimu upi!!!”
Buriani Ali Hassan Mwinyi (1925-2024)
Rais wa zamani wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi, amefariki dunia leo Februari 29, 2024 akiwa na umri wa miaka 98. Taarifa hizo zimetangazwa na Rais Samia Suluhu… Read more “Buriani Ali Hassan Mwinyi (1925-2024)”