Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: March 2024

Mungu hajakuacha!!!

Kuna hali ngumu sana unaipitia leo na maumivu ni makali… …maswali ni mengi sana unajiuliza. Dalili zote zinaonyesha umefika mwisho… …na kila unakogeuka haupati msaada. Ulipofika ni… Read more “Mungu hajakuacha!!!”

March 14, 2024 by CantonaDigital

The Curse of early crowning.

Kwa Wanaotaka Kufanikiwa Haraka… Ni jambo zuri sana kufanikiwa kwa HARAKA… …Ila ukiwekwa MAHALI kabla ya MUDA WAKO, inaweza kugeuka kuwa UHARIBIFU wako. Kuna kitu kinaitwa “The… Read more “The Curse of early crowning.”

March 7, 2024 by CantonaDigital

AFRIKA LEO MAWIO

Wakati serikali duniani kote zikijaribu kukusanya mapato kutoka kwa wananchi wake, baadhi ya nchi za Afrika zinakusanya mapato makubwa kuliko nyingine. Nchi hizi ndizo zinaongoza kwa viwango… Read more “AFRIKA LEO MAWIO”

March 7, 2024 by CantonaDigital

Marufuku ya Shisha Nchini Kenya

Waziri wa usalama wa ndani nchini Kenya Kithure Kindiki ametoa maagizo ya kuzuia uagizaji,utengenezaji,uzaaji,utumizi au matangazo ya shisha ni kinyume cha sheria nchini Kenya.Maagizo hayo yanafuatia wiki… Read more “Marufuku ya Shisha Nchini Kenya”

March 7, 2024 by CantonaDigital

Meet Mr Cantona Joseph

Cantona Joseph, popularly known as General Cantona,is a Kenyan-based serial entrepreneur. He is the founder and chief executive officer of Cantona Group of Companies Ltd, which is… Read more “Meet Mr Cantona Joseph”

March 7, 2024 by CantonaDigital

Sio lazima UGOMBANE na MTU

Ili…aende mbali na wewe. Kuna wakati HAUTAGOMBANA na mtu kabisa, ila itakulazima KUWA MBALI NAYE. Sio kwa sababu HAUMPENDI ila ni kwa sababu MAJIRA yamebadilika. Watu wa… Read more “Sio lazima UGOMBANE na MTU”

March 6, 2024 by CantonaDigital

“Go through it but NEVER QUIT”

Kuna majira katika maisha huwezi kuyakwepa.Ni majira ya MAUMIVU na UGUMU wa hali ya juu.Ni yale majira ukiwa kitandani kwako unakosa usingizi na unasema “Nadhani sasa ndio… Read more ““Go through it but NEVER QUIT””

March 6, 2024March 6, 2024 by CantonaDigital

Vitu vinavyoweza kufanya ung’ae!!

Kila sehemu kuna watu wanang’aa kuliko wengine. Hata nyota angani kuna nyingine huwa zinang’aa zaidi ya nyingine. Watu hawang’ai sababu ya kuwa wanataka kung’aa. Unang’aa sababu kuna… Read more “Vitu vinavyoweza kufanya ung’ae!!”

March 6, 2024 by CantonaDigital

Baraka za kufanya mambo mema!

Tunatakiwa kuendelea kutenda mema bila kuvunjika moyo, maana tutakuja kulipwa mema. Tunaishi kwenye duniani, ambayo tumefikia sehemu tunalipa uovu kwa uovu. Tunafanya mambo mabaya, na wakati mwingine… Read more “Baraka za kufanya mambo mema!”

March 6, 2024 by CantonaDigital

Usiseme kabla ya wakati!!!

Kwa Wanaotaka KUTIMIZA NDOTO ZAO… ____Usiharibu baraka zako kwa KIHEREHEHE cha kusema KABLA YA WAKATI. Kuna watu wengi sana ambao walipoteza MADILI makubwa kwenye maisha… …kwa sababu… Read more “Usiseme kabla ya wakati!!!”

March 6, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...