It’s not over until it’s over

Watu wengi WANAFELI kwenye maisha kwa sababu ya KUKATA TAMAA MAPEMA.

Kama ni MAONO YAKO, basi YAPIGANIE.

Kama ni NDOTO yako basi ISIMAMIE.

Usisahau hili, “ You Can’t Conquer What You Don’t Confront”.

Hauwezi KUKIPATA ambacho HAUKIPIGANII.

Kuna watu wanaamini UMRI umewatupa mkono…

…wakati kuna watu wengine wana Umri kuliko wa kwao WANAPAMBANA BADO.

Kuna wengine kwa sababu waliwahi KUPOTEZA huko nyuma…

…basi WANAAMINI hawataweza KUINUKA TENA.

Usisahau, ili mradi bado UNA PUMZI, basi bado unayo NAFASI.

Inawezekana leo umeanza siku kwa MAWAZO ya kuwa HAIWEZEKANI kwa kuangalia MAMBO MBALIMBALI.

Anza HATUA NDOGO iliyo ndani ya UWEZO WAKO.

It’s NOT OVER Until It’s OVER.

Ndoto Yako INAWEZEKANA.

Kama umejifunza kitu comment neno “SITAKATA TAMAA

Yatimize Maono Yako


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment