Kwa Wanaotaka Kufanikiwa Haraka…
Ni jambo zuri sana kufanikiwa kwa HARAKA…
…Ila ukiwekwa MAHALI kabla ya MUDA WAKO, inaweza kugeuka kuwa UHARIBIFU wako.
Kuna kitu kinaitwa “The Curse Of Early Crowning”.
Hii imewatokea watu ambao wanapata NAFASI au MAJINA…
…kabla hawajajenga UWEZO wa kukabiliana na changamoto za VIWANGO vipya walivyopata.
Umeshawahi kuona mtu anapanda JUU kwa KASI sana, anapata nafasi OFISINI au SERIKALINI…
…Kisha baada ya muda anaporomoka na anapotea.
Au ambaye anapanda kibiashara kwa kasi ya ajabu…
…matokeo yake mafanikio yanamshinda na anapoteza kila kitu.
Kuna wale ambao Kipaji Chao KINANG’AA kwa kasi sana…
…halafu wanashindwa kabisa KUKABILIANA na UMAARUFU.
Ndio maana kwenye maisha lazima UHESHIMU MCHAKATO(Process).
Usisahau kitu muhimu kwenye mafanikio sio kile UNACHOPATA…
…Bali VILE UNAVYOKUWA (It’s Not About What You Get, But it’s About Who You Become).
USITUMIE HILA kupanda JUU au KUPATA kitu…
…Kanuni ya MAISHA ITAKUSHUSHA na utaanza UPYA.
Heshimu MCHAKATO!
Kama umejifunza kitu comment neno “Nitaheshimu Mchakato.

Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.