Somalia na Uturuki watia saini makubaliano.

Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema kuwa Uturuki ndiyo mshirika bora na kuwa uwezo wake wa kiteknolojia, kifedha na ujuzi wa kujenga jeshi la wanamaji kutasaidia katika eneo hilo la upembe barani Afrika.

Uturuki na Somalia walitia saini makubaliano ya ushirikiano wa kiulinzi na kiuchumi ili kuimarisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili na utulivu wa eneo hilo.

TheHeartBeatofAfrica


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment