
Ili…aende mbali na wewe. Kuna wakati HAUTAGOMBANA na mtu kabisa, ila itakulazima KUWA MBALI NAYE.
Sio kwa sababu HAUMPENDI ila ni kwa sababu MAJIRA yamebadilika.
Watu wa namna hii, HAMTAGOMBANA chochote kile…
…Ila utashangaa kuna ile hamu ya ukaribu IMEPUNGUA.
Na ukitafuta sababu HAUTAIONA.
Wakati mwingine inabidi wakae mbali ili WATENGENEZE nafasi kwa ajili ya WENGINE kuja kwenye maisha yako.
Wakiendelea kuwepo, wanazuia nafasi ya mwingine unayemuhitaji kwenye majira HAYA.
Lakini pia, kuna wakati MUNGU anawaweka mbali kwa sababu ameona kitu ambacho wewe HAUJAKIONA.
Ameona ambavyo watakugharimu huko mbeleni, ndio maana ameamua kuwaondoa mapema.
Ukiona unajitahidi kuwaleta karibu Ila bado kuna UMBALI unajitengeneza, USILAZIMISHE.
Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA KITU”
Yatimize maono Yako
#TheHeartBeatofAfrica
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.