HAIFAHAMIKI ALIKO KANALI ALPHA SANGARE

Nchini Mali, hadi sasa haifahamiki mahali aliko kanali Alpha Yaya Sangare, ambaye juma hili alichapisha kitabu kinachoelezea changamoto za ugaidi barani Afrika, ambamo ndani yake alinukuu ripoti za mashirika ya kutetea haki za binadamu ambayo yalilituhumu jeshi kuhusika na mauaji ya rais na vitendo vingine vya ukiukaji wa haki za binadamu.

Katika chapisho lake, alibainisha usiri mkubwa wa jeshi katika kutoa taarifa sahihi kuhusu operesheni zake katika kukabiliana na ugaidi.

Kufuatia kukamatwa kwake, shirika la Human Rights Watch ambalo ripoti zake zilinukiliwa kwenye kitabu hicho.

#TheHeartBeatofAfrica


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment