Unapotafuta kutimiza maono makubwa kwenye maisha yako itaambatana na MAUMIVU makali. KUKUA kwenda kiwango kingine huambatana na VIKWAZO vikubwa. Na mara nyingi itakufikisha sehemu ambayo unatakiwa kuchagua…… Read more “Feel the pain and do it anyway!!!”
Month: March 2024
Unapokataliwa, shukuru Mungu!!!
Wewe ni shahidi;Kuna mahali walikukataa, leo unashukuru Mungu ulipo; sababu walikukataa Unaweza kukataliwa kwa vitendo au kwa Maneno…. wala usiumie wanaokukataa wanafanya kazi nzuri ya kukupeleka sehemu… Read more “Unapokataliwa, shukuru Mungu!!!”
Wengine hawakumis niuchokozi tuu!!
Sio kila ANAYEKUCHOKOZA ili UONGEE ni kwa sababu AMEKUMIS. https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=MmFPjY2YTKSpGSrmKuna wengi ambao WANATAFUTA neno kutoka kwenye kinywa chako, ili waje walitumie kinyume NAWE. Ni Calvin Coolidge aliywahi… Read more “Wengine hawakumis niuchokozi tuu!!”
Waliokutaa na wanaokutaa,watashangaa!!!
Mtu mmoja aliwahi kusema “Everytime I look back I realize that the times when i thought I was being rejected from something good I was actually being… Read more “Waliokutaa na wanaokutaa,watashangaa!!!”
By age 40 should be smart enough to realize this!!
1. Someone makes 10x more than you do in a 9-5 job because they have more “leverage” with their work. 2. Distraction is the greatest killer of… Read more “By age 40 should be smart enough to realize this!!”
Understanding your Potential.
10 Lessons to learn from the book “Understanding Your Potential,” Myles Munroe You can also get the audio book for FREE using the same link. Use the… Read more “Understanding your Potential.”
Winning from behind.
UKWELI KUHUSU MAISHA Ni siku njema tena tuliyopewa na Mungu. Tumeshajifunza kushinda kutokea nyuma/ (winning from behind). Leo tuzungumze mambo ya kuzingatia kuhusu maisha.Kuna vitu muhimu saba,… Read more “Winning from behind.”
Jipe second chance!!!
MUHIMU: Kwa Wote Waliokata Tamaa Kabisa Maishani… JIPE “SECOND CHANCE”… Ndio, jipe nafasi nyingine. Kuna wakati unaweza kupitia jambo na UKAONA Kama imefika mwisho… Na HAUNA NAFASI… Read more “Jipe second chance!!!”
Low self-Esteem!!!
Ukiwa karibu na mtu mwenye “Low Self-Esteem”, unaweza kujikuta kwenye shida kubwa sana. Yaani aidha awe MWENZI wako, BOSI wako au MBIA wako kwenye BIASHARA, bado ni… Read more “Low self-Esteem!!!”
Ufanye kwa ajili ya wengine!!!
Jifunze KUHAKIKISHA kikombe chako HAKIISHIWI maji ili uendelee kuwagaia wengine.https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=foLgI7jxSH-tUc64Kwenye ulimwengu wa sasa, kutakuwa na presha nyingi sana za kukutana UFANYE KWA AJILI YA WENGINE. Usipokuwa MAKINI,… Read more “Ufanye kwa ajili ya wengine!!!”