Kwa Wenye NDOTO KUBWA TU!
Vitu MUHIMU kwenye maisha yako havitakuja VYENYEWE, lazima UVIPAMBANIE.
Kuna wakati maisha yatakufikisha mahali ufanye uchaguzi mmoja…
“Aidha UKUBALI uendelee kuwa namna USIVYOTAKA…
…au UWEKE NGUVU kupambania UNACHOKITAKA”.
Kuna watu wengi sana kwa sababu ya MAGUMU waliyopitia…
…au wanayopitia sasa ni Kama wameamua KUSUSIA NDOTO ZAO.
Kumbuka kuwa huwezi kuwa na Furaha ya kudumu kwenye KITU ambacho HAUKUPENDI.
Huwezi kujiona umeridhika MAHALI ambapo unajua SIO SAHIHI.
Pigania unachokitaka, Bado HAUJACHELEWA.
“You can’t Conquer What You Don’t Confront”.
Amua kukabiliana na chochote kinachokuzia KUPATA au KUWA UNAVYOTAKA.
Usipopambania UNACHOTAKA, utaishi hadi UZEEKE ukiwa MAHALI USIPOTAKA…
…na UKIFANYA USICHOKIPENDA.
Pigania NDOTO YAKO, USIKATE TAMAA BADO UNAYO NAFASI!
Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA KITU”
Yatimize Maono Yako
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.