Ukilijua Hili Utaishi kwa Amani.

Ukilijua Hili Utaishi Kwa AMANI Na Watu Wote…

Unapokuwa na SHIDA, msaada wako unaweza KUTOKEA mahali ambapo HAUJAPATARAJIA.

Ni kawaida Unapokuwa na Hali ngumu ya KIFEDHA, kwenye MAHUSIANO, BIASHARA au KAZINI…

…ukaweka matarajio yako kwa baadhi ya watu.

Kuna ile orodha ya watu ambao unajua ukipiga simu Moja tu, watakusaidia…

…kwa sababu unajua UWEZO wao na unawachukulia kuwa ni watu wa KARIBU YAKO SANA.

Sio kila wakati itakuwa hivyo, kuna wakati HAWATAJITOKEZA kukusaidia, na ITAKUUMIZA.

Yaani, utawatafuta na HAUTAWAONA.

Unajua kuwa wanao uwezo Ila hawatafanya kitu.

Usisahau kuwa kama wao HAWAKUSAIDII, haimaanishi kuwa HAUTAPATA MSAADA.

Ondoa MACHO YAKO kutoka kwa WANADAMU na ANZA KUMUANGALIA MUNGU.

Kuna MTU USIYEMTARAJIA ameandaliwa ili AKUSAIDIE…

…uwe makini ASIKUPITE kwa sababu ya kuweka macho yako MAHALI PENGINE.

Kama umejifunza kitu comment neno “NIMEJIFUNZA KITU”

Yatimize Maono Yako


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment