Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: July 2023

Wakati wa kuomba sana

UNAPOSHANGILIWA sana, UNAPOSIFIWA sana, ndio wakati wa KUMUOMBA Mungu sana. Kuna wengi ambao hawafurahishwi na kuinuka kwako. Wengine ni kwa sababu wanaona HAUSTAHILI kuwa hapo ulipo wao… Read more “Wakati wa kuomba sana”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Maumivu ya moyo

Usipuuzie Maumivu Yako, Madhara Yanayoletwa Na Maumivu Ya Moyo. ____1. Kutoamini watu wanaopaswa kuaminika. Kuna watu kwa sababu walishawahi kuumizwa huko nyuma… …imeua kabisa uwezo wao wa… Read more “Maumivu ya moyo”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Mkakati wa kusoma

Njia Rahisi Zaidi Ya Kupanga Mkakati Wa Kusoma. ____1. Jua Unachotakiwa Kusoma: Tumia muongozo wa kozi yako na andaa orodha ya vitu ambavyo unatakiwa kuwa unavifahamu kabla… Read more “Mkakati wa kusoma”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Unapokumbana na Magumu

Kuna wakati utapitia nyakati NGUMU na zenye MAUMIVU na itaonekana kama vile MSAADA unaouhitaji UNACHELEWA. Mara nyingi, tukipita nyakati kama hizi tunaingiwa na hali ya KULAUMU na… Read more “Unapokumbana na Magumu”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Tunza Siri

UKIAMINIWA kupewa taarifa za ndani na MTU, usizitumie KUMNYANYASA. Kuna watu wengi sana wameumizwa kwa sababu WALIJIFUNUA kwa watu ambao baadaye WALIGEUKA kuwa ndio chanzo cha MAUMIVU… Read more “Tunza Siri”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Jinsi ya kuwa mtu mwene aman moyoni

Jinsi Ya Kuwa Mtu Mwenye Amani Moyoni. Njia mojawapo ya kujihakikishia unakuwa mtu mwenye amani moyoni ni kuwa mtu unayesamahe wanaokukosea. Jonathan Lockwood aliwahi kusema… …“Wasamehe wengine… Read more “Jinsi ya kuwa mtu mwene aman moyoni”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Kuachana sio lazima mgombane

Ukifika wakati wa KUACHANA sio lazima MGOMBANE. Kuna wakati itabidi uachane na mbia wako (Business Partner) wa biashara ambaye mlipanga kufika mbali sana. Kuna wakati itabidi uachane… Read more “Kuachana sio lazima mgombane”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Uwezo wako una pande nyingi

*UWEZO WAKO UNA PANDE NYINGI* Kuna watu leo kinachowapa FURAHA ni UWEZO walionao, na kuna wengine KINACHOWATESA na kuwafanya waishi kwenye SHIDA ni kwa sababu ya UWEZO… Read more “Uwezo wako una pande nyingi”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Kuepuka changamoto za kifedha

Hatua 3 Za Kuzifuata IIi Kutoka Katika Changamoto Za Kifedha. Hatua ya kwanza ni kubadilisha mtazamo na imani yako juu ya uwezekano wa mafanikio yako ya kifedha.… Read more “Kuepuka changamoto za kifedha”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Chukua Hatua

Kuna watu wengi sana hawayajui MAUMIVU yako, hata siku moja hawataweza kuyaelewa MAAMUZI YAKO. ____Usisahau kuwa kuna wakati utatakiwa KUCHUKUA HATUA… …au KUFANYA MAAMUZI ambayo watu wengi… Read more “Chukua Hatua”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...