Wakati wa kuomba sana

UNAPOSHANGILIWA sana, UNAPOSIFIWA sana, ndio wakati wa KUMUOMBA Mungu sana.

Kuna wengi ambao hawafurahishwi na kuinuka kwako.

Wengine ni kwa sababu wanaona HAUSTAHILI kuwa hapo ulipo wao ndio wanastahili.

Kuna wengine ni kwa sababu WALIKUTABIRIA utashindwa.

Hivyo KUFAULU kwako ni KUFELI kwa utabiri wao, hawawezi kufurahia.

Ingawa wapo wanaopambana na wewe WAZIWAZI.

Usisahau wako wengi ambao kwa nje wanaonekana wako UPANDE wako…

…ila wanapambana nawe KIMYAKIMYA.

Muombe MUNGU AKUSHINDIE VITA ZA SIRINI.


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment