Kama na wewe ni mfanyabiashara ambaye unahangaika sana kuweza kuuza bidhaa au huduma yako .
Imefika kipindi mpaka kodi ya ofisi imebidi uikope au utoe kwenye mshahara wako.
Staff umeanza kuwalipa tarehe 40.
Kiufupi hali ya mauzo kwenye biashara yako ni MBAYA.
Kama upo katika hali hii kozi ya Mbinu Za Kuuza Zaidi, Siri za kuongeza mauzo mara 2 au zaidi) ndio mkombozi wako.
Kufikia mwisho wa video za kozi hii utakuwa umejifunza vifuatavyo:
1. Makosa Yanayowakosesha Wafanyabiashara Wengi Wateja na Mauzo.
2. Formula Ya Siri ya Kumshawishi Mtu Anunue Bidhaa/Huduma yako.
3. Namna Bora Zaidi Za Kujitangaza Ili Kuipa Attention Bidhaa/Huduma yako Kirahisi.
4. Mbinu Kuu Za Kuvishinda Vipingamizi Vya Wateja Wako Ili Uuze Kirahisi.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.