Tumia mbinu mpya

Ni kweli, Kuna MENGI mazuri ambayo umefanya bidii ili uyapate ila UMEYAKOSA.

_____Ila usisahau kuwa, kuna mengi MAZURI ambayo haujafanya bidii yoyote ile kuwa nayo…

…ila MUNGU AMEKUPATIA.

Ingekuwa kwa vigezo basi usingeyapata…

…ni kwa Neema ya Mungu tu!

Badala ya kulaumu kwa ULIYOYAKOSA…

…anza siku yako kwa KUSHUKURU kwa yale ULIYONAYO.

Ifanye leo kuwa Jumatatu ya FURAHA na SHUKRANI.

Je, unamshukuru Mungu kwa kitu gani leo?

Andika Kwenye Comment tumshukuru Mungu kwa Pamoja.

Tafadhali naomba nisaidie KUSHARE ujumbe huu na mwingine.

Je kuna mambo YAMEKUTATIZA kwa muda mrefu lakini HUJUI utatatua vipi?

Nakushauri soma eBooks/Vitabu/Kozi zangu ZITAKUSAIDIA SANA!

Zimenisaidia MIMI, zimewasaidia WENGI.

Na kwakuwa ninaziamini nakupa na Guarantee ya siku 7.

Yani 7 Days 100% Money Back Guarantee.

ACHA kuteseka chukua hatua ongeza maarifa yafanyie kazi utapata mabadiliko.

Usiendelee kutumia mbinu zile zile ambazo hazijakusaidia kwa miaka mingi iliyopita.

_______________________


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment