Kuna watu wengi sana hawayajui MAUMIVU yako, hata siku moja hawataweza kuyaelewa MAAMUZI YAKO.
____Usisahau kuwa kuna wakati utatakiwa KUCHUKUA HATUA…
…au KUFANYA MAAMUZI ambayo watu wengi wanaokuzunguka aidha HAWATAYAKUBALI au HAWATAYAELEWA.
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa maamuzi mengi yatakayokusaidia KWENDA kiwango KIKUBWA cha maisha yako…
…yatakuhitaji uwe na UJASIRI wa KUSIMAMA PEKE YAKO.
Ukiwa kwenye aina hii ya maamuzi halafu ukawa mtu wa KUSUBIRIA kila mtu AKUSAPOTI au AKUELEWE…
…utajikuta UNACHELEWA sana kwenye BAADHI YA MAMBO.
Kuna vitu UNAVIONA WEWE, wao hawawezi kuviona.
Kuna maumivu unayasikia wewe, wao hawawezi kuyasikia…
…kuna kesho unaitaka wewe, wao hawaioni.
Leo, JIKAGUE, usiruhusu MAAMUZI yanayokuhitaji wewe PEKE YAKO yacheleweshwe na WENGINE.
Jivike UJASIRI kisha CHUKUA HATUA kabla HAUJACHELEWA.
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.