Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: August 2021

WANAUME NA WANAWAKE WANAHITAJI MAMBO SAWIA.

1.Wote wawili wanahitaji heshima.Heshima sio ya mwanaume pekee yake. 2. Wanandoa wote wanahitaji kumegana.Swala ya kujamiana si la mtu mmoja,ni swala ya wawili mke na mme,likifanyika ndani… Read more “WANAUME NA WANAWAKE WANAHITAJI MAMBO SAWIA.”

August 13, 2021 by CantonaDigital

Kuna mambo 10 hapa unaweza fanya kuhakikisha unakuwa na mawazo chanya siku zote:

1- Kuwa na watu sahihi wanaokuzunguka 2- Kubali kosa ukifanya na badilika 3- wapongeze wengine wakifanya vizuri. 4- Jijali/ Jipende. 5- Shukuru kwa yale uliyonayo 6- Jione… Read more “Kuna mambo 10 hapa unaweza fanya kuhakikisha unakuwa na mawazo chanya siku zote:”

August 13, 2021 by CantonaDigital

Mbegu haiwezi kuota ikiwa kwenye mikono

Mkulima siku zote analifahamu hili,mbegu haiwezi kuota ikiwa kwenye mikono ya mtu,inapofukiwa udongoni itaota, mambo lazima yatokee ili alichokipanga Mungu kitimie, ili Yusufu awe waziri Mkuu,ilikua atupwe… Read more “Mbegu haiwezi kuota ikiwa kwenye mikono”

August 13, 2021 by CantonaDigital

Wanachokipenda wanawake siku ya kwanza ya date.

Utafiti ambao nimeufanya mabinti wanachokipenda wanapokutana kwa mara ya kwanza na mwanaume iwapo ataweza kukubali mahusiano yawepo. Wanaliangalia hili sana: 1.Harufu: Mwanamme anayenukia hupata asilimia kubwa hata… Read more “Wanachokipenda wanawake siku ya kwanza ya date.”

August 13, 2021 by CantonaDigital

12 THINGS TO SAY NO TO IN YOUR MARRIAGE

1. Say NO to going to bed with unresolved issues. The longer issues pile up the messy things become and the climate in your home worsens 2.… Read more “12 THINGS TO SAY NO TO IN YOUR MARRIAGE”

August 13, 2021 by CantonaDigital

UKWELI 17 KUHUSU UAMINIFU KATIKA MAHUSIANO.

1.Uaminifu unapovunjika,mazungumzo yanakua magumu sana kuwepo. Mwanamke na mwanaume wanabuni ukuta kujitetea,kugombana na kila mmoja anavuta upamde wa kwake. 2. Usaliti wa penzi,ndicho chanzo cha kuvunja uaminifu… Read more “UKWELI 17 KUHUSU UAMINIFU KATIKA MAHUSIANO.”

August 13, 2021 by CantonaDigital

KWA WANAUME…NA WANAWAKE

Wanaume………… 1.Watafute marafiki wanaume watakao kukosoa wakati unapochukua mkondo usio mzuri,sio wale wanaume ambao watakuona ukiteleza maishani na wasalia kimya tuu. 2. Watafute marafiki watakao heshimu mwanamke… Read more “KWA WANAUME…NA WANAWAKE”

August 13, 2021 by CantonaDigital

WATOTO WENYU WANAHITAJI MALEZI YENYU WAWILI.

Wakati unapogombana na mpenzi wako kila siku hapo nyumbani fahamu watoto wako wanasikia. Wakati unapoamua utalala katika chumba tofauti,fahamu watoto wenu wanaliona.Wakati unapoamua kwamba hautaomba,huku unajifanya mnaomba… Read more “WATOTO WENYU WANAHITAJI MALEZI YENYU WAWILI.”

August 13, 2021 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar