Wanachokipenda wanawake siku ya kwanza ya date.

Utafiti ambao nimeufanya mabinti wanachokipenda wanapokutana kwa mara ya kwanza na mwanaume iwapo ataweza kukubali mahusiano yawepo. Wanaliangalia hili sana:

1.Harufu:

Mwanamme anayenukia hupata asilimia kubwa hata kabla kutamka neno.

2.Mshipi

Aina ya kiatu Mshipi wako na kiatu humvutia ama kumchukiza mwanamke mara ya kwanza anapokuona.

3.Kimo:

Ni kweli kwamba mwanamke huzingatia pakubwa kimo cha mwanamme kwa asilimia kubwa katika kufanya uamuzi wake.

4.Meno:

Tabasamu hutoa nafasi kuyafunua meno yako. Kila mume anapaswa kuyatunza meno yake vizuri kuepuka harufu mbaya na aibu.

5.Lugha:

Wanadada huwapenda wanaume ambao huweza kuzungumza kizungu kizuri bila kuboronga sarufi wala kujichanganya.

6.Ujasiri:

Mwanamme anayetongoza mwanamke akiwa jasiri huwa nafasi ya juu zaidi kufanikiwa bila tatizo.

7.Umbo:

Wanawake huvutiwa na wanaume ambao wana umbo zuri.

8.Rangi ya mwili: Mwanamke huzingatia rangi ya mwanamme kabla kulikubali ombi la uhusiano.

Cantona School of Thoughts

Tembea Youtube Subscribe Youtube channel yangu

CantonaCast Television https://youtu.be/kFruH4ysPE4

Website: cantonadigital.wordpress.com

Email:cantona.online254@gmail.com

#MahusianoNaNdoa #IpoSiku #marriagemathematics #FamiliaNaMalezi #MaendeleoNaMafanikio #CantonaJoseph


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment