UBUNIFU WENYE TIJA KITANDANI

Kama anakupenda atatafuta muda na wewe katikati ya ubize wake. Ukiona tofauti na hili, basi tilia shaka thamani yako kwake.Njia mojawapo nzuri ya kumpenda mpenzi wako ni kumsaidia yeye kwa kila hali kuendelea kukupenda weweKumbuka tu kwamba alama ya jumlisha na msalaba zinafanana ila zina utofauti mkubwa.Unayotakikana kufanya katika ubunifu wako.

1.Piga mbusu mpenzi wakati wote.

2. Wakati wa kulala,ni bora kwenda kitandani pamoja sio mmoja apate mwenzake ametangulia kulala.

3. Uwaminifu unahitajika.

4. Mazungumzo ya pamoja kitandani yanahitajika kabla hamjalala ”pillow talks”. 5.Msigombane,wakati wote jiulize unaposema na mpenzi wako,unasema naye kwa sauti ipi na je unatabasamu au umenuna?”

6. Weka simu mbali na kitanda,kuepuka kuingia kwenye mitandao ya Facebook, WhatsApp, maana ni muda wa kushiriki tendo la ndoa.

7. Msifie mwenzako,umbo lake,sura yake,rangi yake,hulka na mafanikio yake.

8. Unapolala msilale na nguo,hata kama kuna baridi la aina ipi.Valia nguo ambayo ita hamsha hisia.

9. Cheza nyimbo za mapenzi na kumwabudu Mungu,hali hii inatoa mandalizi ya aina yake.

10. Swala la ndoa na kumegana kila wakati linahitajika.

11. Tenga mda wa kuomba,Fanyeni kwa zamu.

12. Shika mwenzako huku mkisifiana.

13. Burudani la kitandani linahitaji kuwa ubunifu pasipo uoga.

14. Jifunikeni blanketi/duve moja.

15. Mnapolala lala pamoja mkiwa mnakumbatiana.16. Piga mswaki,meno yawe yanapendeza na harufu ya kuvutia.

17. Mwangaza uwepo wa mahaba katika chumba chenu.

18. Mnapozungumza sauti ya mahaba zingatia hilo.

19. Wasa wakutakia mwenzako usiku mwema.

20. Kunapokucha salimu mwenzako na tabasamu kuona siku nyingine.

Cantona School of ThoughtsTembea Youtube

Subscribe Youtube channel yangu

CantonaCast Television https://youtu.be/l-hQx4EfR_Y

Website: cantonadigital.wordpress.com

Email:cantona.online254@gmail.com

#MahusianoNaNdoa#IpoSiku

#CantonaJoseph

3You, Fortune Baraka and Collo Sikolia1 Share


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment