
1. Mwanaume anayekupenda anatumia uwezo wowote kuonyesha upendo wako na atakusaidia ufikie ufanisi maishani.
2. Kwa kawaida wanaume wanapenda kuwa katika mikusanyiko ya wanawake wanaowapa mitihani,wanawake wanaojitambua na wanamijadala ya mambo tofauti sio tuu swala la kumegana,yule mwanamke anayezungumza alafu anavutiwa na hekima yake.
3.Kujipendekeza kwa mwanaume si ishara atakupenda,heshima ni kigezo mwanaume anachokichunguza sana.
4.Mwanaume anaweza akatumia ubabe wa mwanaume ni hali yao,kwa njia nzuri kuonyesha upendo wake kwakoanaweza kutoa sifa za mke anayempenda,anapofanya hivi jihirisha mna upendo wa pamoja simama naye.
5. Mwanaume ambaye anamcha Mungu,aatakuwa na mapenzi nawe.Chunguza mahusiano yake na Mungu wake ni mcha Mungu.
6. Wakati mwanaume anapogundua,haumwitaji una mipango naye,anajiondoa kimyakimya.
7. Mwanaume anapopata amani,anajituma zaidi na kuboresha viwango vyake,malengo yake yanachipuka maana yupo na mtu sahihi.
8. Iwapo mwanaume anakupenda,litaonyesha,litahidhirika,utalijua nakulihisi.9. Iwapo unataka mwanaume kubadilika mtie moyo ,usivunje moyo.
10. Wanaume wana hisia pia. Wanawake iwapo mtafanya wanaume kuhisi salama watajihisi kupenda zaidi.
11.Vumilia anakitu kizuri Sana ndani yake!- ulitaka kumkimbia, Mvumilie tu!Acha habari zako za kutaka kuondoka!
12. Watu wengi kwa kweli wanateseka tu kwenye ndoa kwa sababu kuna vitu vimewapita pembeni. Hawavijui wala kuvielewa vema.
Cantona School of ThoughtsTembea Youtube
Subscribe Youtube channel yangu
CantonaCast Television https://youtu.be/l-hQx4EfR_Y
Website: cantonadigital.wordpress.com
Email:cantona.online254@gmail.com#MahusianoNaNdoa #IpoSiku
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.