
Moja ya mahangaiko ya watu wengi sana katika maisha ni kuyajua na kuyaishi maono yao ili kuleta maana ya kuishi na utosherevu wa moyo katika kuishi.
Maono ndio yanayoleta maana ya maisha ni ngumu mtu kuwa na mwelekeo wa maisha akikosa maono katika maisha yake.
Sambamba na hilo wengine pia wamekua na maono lakini moja ya Tabia sugu ambayo imekua ikiwakwamisha katika kuyaishi maono yao ni KUGHAIRISHA MAMBO,siku zote muda haumsubirii mtu na ukishapita mbeleni hupelekea majuto, kwa nini sikufanya jambo fulani?
Kwa nini sikuanzisha ile Biashara? Kwa nini sikuamua kupambania maono yangu lakini muda unakua umeisha na huwezi tena.Kitu Chochote cha muhimu ambacho ulitakiwa kukifanya sasa ukaendelea kughairisha lazima baadaye utakuja kukijutia.
Kwa kutambua hizo changamoto kubwa mbili nimekuandalia kadha ambavyo vinaashiria ninaishi maono yangu
ISHINDE TABIA YA KUGHAIRISHA MAMBO
1.kwa Nini watu wanaghairisha mambo,utafiti wa kisayansi kuhusu kughairisha Mambo?
2.Aina 5 za waghairishaji, je unaijua ya kwako?
3.Mbinu za kutumia ili kushinda Tabia ya kughairisha Mambo
4.Jinsi ya kutumia kughairisha Mambo kwa faida
5.Mbinu za kujenga Tabia mpya za mafanikio.
KUYAISHI MAONO YAKO
1.Jinsi ya kupata Maono yako (Catching your vision).
2.Namna ya kufanya maandalizi kuyafikia maono yako (preparation).
3.wakati wa Kuunganishwa na watu muhimu (Divine connection)
4. Utambulisho wa kimkakati (Strategic introduction)
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.