1. Makaribisho yanayopendeza.
2. Wewe kutaka kujua siku yake imekua vipi.
3. Mazingara yeenye amani na mpenzi ambaye anampa amani.
4. Tabasamu lako na kicheko,kuwa na wakati mzuri kufurahi,kucheka.Siku inaweza ikawa ilikua na changamoto anahitaji kurejea katika mikono salama nyumbani.
5. Kudhihirisha upendo wako.

6. Busu lako linafaa,kumbuka ulikua unampa busu kipindi mnachumbiana na ya ndoa unakwepa kumpa busu.
7.Wakati wa kula chajio pamoja na iwapo mpo na watoto mshiriki pamoja maankuli hayo.
8. Mkande mwili wake iwapo ana hisi ana wasiwasi.
9. Mtie moyo iwapo siku yake ilikua na changamoto.
10. Msifie,sema maneno yaliyo na nakshi.Mpongeze.
11. Tamatisha siku kwa mipangilio ya siku inayofwata.
12. Wakati bora wa kushiriki tendo la ndoa[kumegana vizuri na unayempenda.
13.Shiriki swala la kumegana taratibu usiku huo,maana mchana mnapilkapilka kwenda kazini.
14. Mtakie usiku mwema,kupitia busu huku ukiwa umemkumbatia na omba pamoja kabla hamjalala.
15. Mara nyingine kwenye maisha unaweza kudhania kama humhitaji mwingine, unajihisi kama vile unajitosheleza, unahisi wewe unatosha. Sometimes unajiona kama huyo mume hata asipokuwepo sawa tu, huyo mke hata akiondoka poa tu, hii kazi naweza ikacha anytime sina shida. Nakwambia siku hicho unachokidharau kikichomoka ndio utagundua kumbe kilikuwa cha maana sana na ulikihitaji sana na labda huwezi tena kukirudisha tena. Fahamu tunategemeana sana
Cantona School of Thoughts
Tembea Youtube Subscribe Youtube channel yangu CantonaCast Television
Website: cantonadigital.wordpress.com
Email:cantona.online254@gmail.com
#MahusianoNaNdoa #IpoSiku #CantonaJoseph
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.